Recent content by kilanio

  1. K

    INAUZWA Nauza frij la mtumba milango miwili 200,000

    Piga mkuu tujadiliane Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  2. K

    INAUZWA Nauza frij la mtumba milango miwili 200,000

    Habari Wakuu nauza frij hili aina ya Indest bei poa tu 200,000 unaweza litumia hata kwa biashara kwani lina friza na inagandisha vizur sana kwa muda mfupi na halitumii umeme mwingi. Lipo dar kitunda-kivule. No 0745771764 Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  3. K

    Msaada: Soko la biashara ya nazi kwa Dar es Salaam

    Sawa nawasubili Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  4. K

    Msaada: Soko la biashara ya nazi kwa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nimejaribu kuchunguza uhitaji wa nazi ndani ya jiji la Dar es Salaam,nataka nianze kuuza nazi kwa kufanya uchuuzi toka Pwani kuleta Dar na kuuza kwa wauzaji wa reja reja, naomba tafadhali kujua mwenye uzoefu na hii biashara changamoto zake na pia ukubwa wa soko lake kwa Dar es...
  5. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kujua Wakuu naomba kumjua huyu mdau King Tz anauzaga odds..naona kila siku anatoa won..yaonekana ni mkali sana. hebu aliyewahi nunua tickets kwake atuambie..nataka nianze mtumia maana nimechoka kuchaniwa mikeka na kanjibai
  6. K

    Ushauri: Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto

    Habari wakuu. Naomba msaada wapi ntapata balo la nguo za watoto na je biashara hii changamoto zake ni zipi? Na niwe na mtaji kuanzia ngapi.. Natanguliza shukrani NB: Nina msingi kama 150,000 ambayo nafikiria kuitumia kama mtaji wa awali
  7. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hivi GG3+ naipstaje kwenye betpawa..natumia simu
  8. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    pia naomba mwenye mikeka mingine ya usku atupie hapa plz
  9. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naomba ushaur hapa wakuu si mtalaam sana
  10. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Heshima yenu wakuu..naomba mwenye group la wazee wa kuweka mikeka..anisaidie kuniunga upande wa watsapp.. natanguliza shukrani za dhati
  11. K

    House4Sale Nyumba Inauzwa Bei imeshushwa Hadi Mil 25 tu

    Picha zp Zaid ,mim s dalali Mkuu,biashara Nzuri ni kufika na Kuona Mkuu,picha tuu ni ngumu kupata maamuzi nitumie WhatsApp nikutumie picha Zaid.asante Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Nyumba Inauzwa Ukonga-Kivule Njiapanda Shule 29,000,000/=tsh

    Bado IPo Wakuu , Bei imeshushwa had milio n 25. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    House4Sale Nyumba Inauzwa Bei imeshushwa Hadi Mil 25 tu

    Nyumba ina Hali Nzuri na Eneo ukubwa miguu 25 kwa 20, Pia ipo karibu na barabara Kuu. Ina Sebule kubwa, dinning room,jiko,vyumba 2 vya kulala,choo na bafu.. Na pia ina Banda la nyuma lenye vyumba vitatu.Nyumba ina uzio(fensi).Nyumba ina hati ya serikal ya mtaa Bei imeshushwa Hadi...
  14. K

    Nyumba Inauzwa Ukonga-Kivule Njiapanda Shule 29,000,000/=tsh

    Nyumba Bado ipo wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom