Ushauri: Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto

Ushauri: Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto

kilanio

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
221
Reaction score
69
Habari wakuu.

Naomba msaada wapi ntapata balo la nguo za watoto na je biashara hii changamoto zake ni zipi? Na niwe na mtaji kuanzia ngapi.. Natanguliza shukrani

NB: Nina msingi kama 150,000 ambayo nafikiria kuitumia kama mtaji wa awali
 
Back
Top Bottom