Sasa mbona uislamu wote ni mila za Wayahudi na Wakristo? Zaburi, Torati, injili vyote ni vitabu vya Wayahudi. Hata upuuzi mnaoita ni sharia zote ni sheria za Kiyahudi.
Majina ya Kiyahudi kama Yusufu, Musa, Ibrahimu, Omari, Djibril yote mnaita ya kiislamu wakati ni ya Kiyahudi. Muhammad alifanya...