Habari za wakuu, naomba mnisaidie mnipe,ushauri napenda sana kazi ya kuendesha mitambo mikubwa yaani scaveta,caterpillar
Nataka nijipange nikipata ada niende nikajifunze je nikimaliza mafunzo kuna uhakika wa kupata kazi, mishahara wanalipa tsh ngapi kwa mwenzi
Nipo hapa mdogo wenu,kaka
naomba...
Namuunga mkono mtoa mada mtaani kwetu juzi kuna mzee wa makamo,ana familia kabisa kaenda bar kanywa pombe zikamkolea,akaanza kucheza na mtoto wa mwenye bar huyo mtoto ana miaka 6,kumbe mwenye mtoto alikuwa anachukua video jana kaenda polisi kawaonesha video anasema mtoto wake alitaka kubakwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.