Naiweka hii kwa herufi kubwa:
KWA NIABA YA WALE WASOMAJI WA KIMYA KIMYA KAMA MIMI, HATUELEWI WANAOSEMA WANA MALENGO YA KUIONA JF YENYE MAUDHUI YA KWELI NA MAANA…!!! HATA KWENYE SIMULIZI???
TUKO WENGI TUNAOIFUTILIA SIMULIZI HII NYUMA YA PAZIA NA INATUBURUDISHA, INATUFUNZA NA HATA KUTUPIMISHA...
Pole sana ndugu yangu. Nakuelewa sana maana nimewahi kupitia hali kama hiyo.
Ukimpenda sana mwanamke, na bahati mbaya wewe ukawa sio chaguo lake…au hujamkamilisha vile anavyoota, ni sawa na kujenga makazi yako kwenye moto. Kila siku moyo wako utakuwa unalipuka na kuugulia.
Kubali tu kuwa...
Hatumuabudu BIKIRA MARIA! Tunamuheshimu na kumsifu, tunamuomba atuombee! Hii ni imani yetu Wakatoliki, na bila shaka iko tofauti na ya kwako, busara hapa ni kuheshimu imani za watu wengine, kwa sababu imani ya mtu mwingine ni nadra sana kufanana na ya kwako, imani sio elimu. Sala yetu KWAKE ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.