Recent content by Kikwebo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Umejaribu kuiweka vizuri lakini naona unakosa uungwaji mkono hata na wale jamaa wa NRNE. Usilolijua Pole pole shida yake kubwa ni Mh Samia Suluhu Hassan kuwa Raisi. Aliapa mara tu baada ya Mzee baba kukata moto. Baada ya kuona imeshindikana na hatamu zote za uongozi zimeshikwa na Mh Samia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Hiki ndio kilicho baki kwake baada ya kuona anapuuzwa kwenye kila jambo lake la kutaka ku derail viongozi. Yaani kutoka kupigania katiba na utawala bora mpaka kuishia kuja na hoja ya Mkao wa wageni wa Raisi hili si anguko dogo la ndugu Pole pole. Sasa kidogo naanza kuamini kuwa jamaa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Yaani maji ya afya ya lita 13 tu ni sh. 4,000 hivyo maji ni rahisi kuliko Gesi? Au kina Azam nao wanatuhujumu? Halafu bado kuna watu wanaona Pole pole ni mtu reliable kabisa. In conclusion ikiwa ameweza kudanganya kwenye issue ndo kama hii tutanuamini vipi kwenye mambo mengine anayotuhumu watu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Sukuma gang wamejaa ushamba ndo hata usiseme. Sasa kwenda kujenga kiwanja cha ndege chenye hadhi ya kimataifa kijijini Chato..kama sio ushamba ni nini? Tena kutumia mkandarasi Mayanja construction wa kunyumba zikitumika zaidi ya 50b kama sio ufisadi ni nini? Hapo hatujagusia un accounted Tshs 1.5Tr
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Hongera kwa kujaribu kudadavua. Mie hata sikuhangaika na kufanya utafiti kujua ukweli wa hoja ya Pole pole. Kwangu mimi huyu mtu ni mzushi na mwenye agenda ya kuleta taharuki na kupandikiza chuki. Anajua wazi kuwa taarifa hizi za uongo madhara yake na akiunganisha na hahsimu wake RA ndo watu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

    Ni huyu huyu Britanica? Leo amekuwa Pro Pole pole kwa 100%
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

    Kiranga katika ubora wako. Big up legends 👏
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kutofautisha nyuzi za Britanicca na stori za vijiwe vya kahawa ?

    Mimi tangu alipokuja na hekaya eti kuna mtu yuko kwenye friji huko Uturuki nikasema kweli huyu mtu ni hamnazo. Lakini lakushangaza wala hakomi..na kuna watu na akili zao kabisa wanaona kama ni mtu reliable kabisa. Kumbe ni mavi ya kuku.
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Sasa hao hao ndo wapiga kura. Tujiulize sisi wengine tunaweza kushawishi watu kwa wingi huo wakutupigia kura?
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Huyo Pole pole kama kweli anajua sana aanze kwanza kumtaka aliempiga risasi Mwenyekiti wetu na wapi alipo Kada wetu kijana mahiri Ben Saanane. Akitubutu hapa ndio nitakuwa na interest ya kumsikiliza maana najua yuko seruous na ni ma anamtegenea Mungu wa Mbinguni kama anavyodai.
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Baada ya juhudi za hakikisho kuwa uchaguzi hautokuwepo mpaka reforms zifanyike na kuwaaminisha watu kila aina ya ubaya kutozaa matunda yoyote, sasa tunaona imekuja njia mpya ya kujaribu kuondoa credibility ya Mgombea uraisi kwa kusaga kunguni. Kwa maoni yangu hizo zote ni kupoteza muda tu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Mimi mpaka unipe muendelelezo wa hekaya za Jasusi Mkuu kama yuko kwenye friji huko Turkiye na sasa inakaribia mwezi. Ukishimdwa nitaona hizi nazo ni hekaya kama hekaya nyingine tu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna shida gani Mtanzania kuwekeza kwenye rasilimali za nchi? Au mpaka mmarekani, mchina au mrusi akiwekeza hapa kwetu ndo raha yenu

    Hivi nyie chuki mbona zimewajaa sana. Tena huyo Pole pole aamze kwa kutuambia kilichotokea kwa Deo Mwanyika aliekuwa anaambiwa kuwa ni fisadi, anashirikiana na mabeberu kwenye wizi wa madini kule Acasia Kahama. Mpaka akawekwa ndani. Sasa, how comes huyo aliemtangaza fisadi ali bariki na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

    Umeeleza vyema kabisa. Hatukumbuki kuzisikia hizi kauli miaka ile wakati Baba wa Taifa akitoa ushauri tena kwa kumbagaza kabisa Raisi aliekuwepo madarakani Mh Ali Hassan Mwinyi. Wenye kumbu kumbu tunakubuka kabisa hata lugha zilizokuwa zikitumika. Sasa napata picha ya hii combination CHADEMA na...
Back
Top Bottom