ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha............!!!!! humu jf kuna raha sana eti ngoja Dr.Luis aje duh...leo nimecheka kutoka moyoni mpaka machozi. Kwa yanayonikabili sikutegemea kama mwaka huu ungemalizika ningepata fursa ya kucheka kwa dhati namna hii.....duh....na hii ni kwasababu nilikuwa serious...