Recent content by kikuluu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Aisee kupitia wewe umeniganya nibadirike kabisa ile dhana kuwa uislamu nidini yafujo imeanza kuyeyuka taratibu, na je hao wanaowachukua watoto nakuwapeleka porini kisha kuwapa mafunzo yaugaidi hapa nchini nawengine wameenda mbali zaidi wanatoa mafunzo ya karate misikitini hao unawazungumziaje...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Hakuna ubaya mkuu lkn Ustaadhi Juma mbona uko tofauti sana na waislam ninaowajua mm? Uko humble sana kiongozi hongera sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Mchungaji Gwajima waanza kumchoka. Wengi waonesha mashaka yao juu ya kuumwa kwake

    Umemempatia sana huyo mbwiga
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Mchungaji Gwajima waanza kumchoka. Wengi waonesha mashaka yao juu ya kuumwa kwake

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kusafiri kwa Ndege: Ni uoga wangu au nipo sahihi?!!

    Umenichekesha sana mkuu ukweli ndege zinatisha sana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Inawezekana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Nimeshapata darasa tosha kabisa sheikh hawa watu niwakuwakalia mbali sana aisee
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Du nimeona Ustaadhi inatisha kweli kweli hivi kuna Mungu wakweli hapo jamani?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Ahsante kwa Ilimu pana sheikh wangu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

    Ustaadhijuma usipotoshe umma washia sio waislamu???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mjamzito ajifungulia kwenye korido Baada ya Wauguzi Kugoma Kumsaidia

    Hivi kigwangwala yupo kweli? Ishu yake na Dr mwaka imeishia wapi? Maana alianza kwa mbwembwe sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Mchungaji Gwajima waanza kumchoka. Wengi waonesha mashaka yao juu ya kuumwa kwake

    Hajamchokoza magufuli kamchokoza kikwete
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kusafiri kwa Ndege: Ni uoga wangu au nipo sahihi?!!

    Mwanangu mbona unanitisha hivyo kiongozi wangu? Kusema kweli ndege hazizoeleki jaman mm sijawahi panda ndege kwenda nje ya nchi lkn kwahapa nyumbani nimepanda mara kadhaa lkn ukweli wa Moyo wng ni Mungu pekee anaeujua ninakuwa kwenye hard time sana nikiwa kwenye ndege inafikia mahali nawakumbuka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mke mpya wa Mfalme Mswati

    Watamu kwani unawala?
Back
Top Bottom