Recent content by kikukuu

  1. K

    King'amuzi cha bein sport kinauzwa

    Kwahiyo hii decoder Bein Sports, haionyeshi tena Ligi ya Uingereza kama muuzaji anavyodai, au?
  2. K

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Nina nyumba ya vyumba vinne, kimoja Master na Sebule na jiko. Maji yapo na Luku yako peke yako. Nyumba ina fensi na geti. Nyumba ipo barabarani Njiro kwa Msola, Arusha. Kodi 300,000/- kwa mwezi, kodi ya miezi 6 au 12. M/Nyumba:0754 079797
  3. K

    Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??

    Naomba tujibu hayo maswali ya mwenzetu Saulingi Brighton, mimi mwenyewe niko interested na ishu hii
  4. K

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Tujuze details za kiwanja, Kibada Block gani na miundombinu ikoje. Umbali wa kiwanja kutoka barabara kubwa na Je, umeme umefika? nk.
  5. K

    Nauza vocha za viwanja vilivyopimwa kigamboni gezaulole

    Vipi Kibada? Nahitaji kiwanja Kibada
  6. K

    Nyumba mbili zinauzwa

    bei gani kila moja
  7. K

    Natafuta kazi,msaada

    Ila kwenye applications za kazi 100 ndo naweza pata 1! Kaazi kweli kweli! Ila mtafutaji hachoki, akichoka kapata. Will persevere
  8. K

    Natafuta kazi,msaada

    Shule yenyewe namaliza chini ya wiki 3, kabla mwisho ya mwaka na nategemea kusherekea NEW YEAR bongo. Kwa ushauri uliotolewa, naanza apply kupitia websites nw na nikifika Tz tu, napitisha cv yangu maofisini
  9. K

    Natafuta kazi,msaada

    Ukweli mtu wangu. Kucompare ACCA na BCOM ni makosa, ACCA inaendana na CPA. Ila December nina uhakika narudi inshaallah bcoz navuta jiko ninaporudi tu. All planned na ndo maana naulizia kazi mapema
  10. K

    Natafuta kazi,msaada

    Pia nimeambiwa kuna recruitment agency inaitwa radar recruitment, kuna mtu anaijua and if inafaa kuwapitia? Plus nimeangalia websites walizonipa Kijamani na Farmer, shukran tele to you guys, nauliza njia ipi bora kuombea kazi? To apply online or by mail(barua)?
  11. K

    Natafuta kazi,msaada

    Yaani! nimesubiri ushauri wa JF wa kutafuta kazi mpaka nikakata tamaa. Nashukuru kwa waliochangia na yoyote ataendelea kuchangia. Ushauri na michango ya ziada, nashukuru daima. Many Thnx
  12. K

    Natafuta kazi,msaada

    Mimi ni kijana ninaemaliza masomo nje ya nchi. Nachukua ACCA, equivalent to CPA ya bongo but internationally recognized, na nategemea fanya my final exams Dec. hii. Yaani ni juu ya BCom. Sina experince. Nimeondoka bongo muda, sina network yoyote nikirudi. Msaada wenu nianzie wapi, ni approach vp...
  13. K

    Tulia!

    kuku ni kuku tu na bata ni bata tu
Back
Top Bottom