Natafuta kazi,msaada

kikukuu

Member
Oct 1, 2009
13
1
Mimi ni kijana ninaemaliza masomo nje ya nchi. Nachukua ACCA, equivalent to CPA ya bongo but internationally recognized, na nategemea fanya my final exams Dec. hii. Yaani ni juu ya BCom. Sina experince. Nimeondoka bongo muda, sina network yoyote nikirudi. Msaada wenu nianzie wapi, ni approach vp utafutaji kazi nikirudi. Msaada jamani!

Watu wanetisha bongo kazi mpaka kujuana. Msaada wowote wa maarifa,ushauri nk. nitashukuru sana. Thnx
 
Usihofu kabisa kaka, kujuana kupo lakini qulifications ndio swala la msingi. kwa kuanzania cheki na hii link http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?part=bm
 
Mimi ni kijana ninaemaliza masomo nje ya nchi. Nachukua ACCA, equivalent to CPA ya bongo but internationally recognized, na nategemea fanya my final exams Dec. hii. Yaani ni juu ya BCom. Sina experince. Nimeondoka bongo muda, sina network yoyote nikirudi. Msaada wenu nianzie wapi, ni approach vp utafutaji kazi nikirudi. Msaada jamani!

Watu wanetisha bongo kazi mpaka kujuana. Msaada wowote wa maarifa,ushauri nk. nitashukuru sana. Thnx

Usihofu kabisa kaka, kujuana kupo lakini qualifications ndio swala la msingi. kwa kuanzania cheki na hii link http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?part=bm
 
Yaani! nimesubiri ushauri wa JF wa kutafuta kazi mpaka nikakata tamaa. Nashukuru kwa waliochangia na yoyote ataendelea kuchangia. Ushauri na michango ya ziada, nashukuru daima. Many Thnx
 
Wewe unatafuta kazi hiyo ACCA hujamaliza maana huna hakika nini kitafuata hiyo December unaweza usitoke pia. Maliza shule taja CV yao.
Pia huwezi kusema ACCA ipo juu ya Bcom, unalinganisha vitu visivyofanana. ACCA ni professional qualification, BCOM si hivyo. ACCA inaweza kufanywa kwa muda mrefu wakati Degree zipo structured kwa muda fulani. Linganisha ACCA na CPA ndio utaeleweka.
 
Pia nimeambiwa kuna recruitment agency inaitwa radar recruitment, kuna mtu anaijua and if inafaa kuwapitia? Plus nimeangalia websites walizonipa Kijamani na Farmer, shukran tele to you guys, nauliza njia ipi bora kuombea kazi? To apply online or by mail(barua)?
 
Ukweli mtu wangu. Kucompare ACCA na BCOM ni makosa, ACCA inaendana na CPA. Ila December nina uhakika narudi inshaallah bcoz navuta jiko ninaporudi tu. All planned na ndo maana naulizia kazi mapema
 
Mimi ni kijana ninaemaliza masomo nje ya nchi. Nachukua ACCA, equivalent to CPA ya bongo but internationally recognized, na nategemea fanya my final exams Dec. hii. Yaani ni juu ya BCom. Sina experince. Nimeondoka bongo muda, sina network yoyote nikirudi. Msaada wenu nianzie wapi, ni approach vp utafutaji kazi nikirudi. Msaada jamani!

Watu wanetisha bongo kazi mpaka kujuana. Msaada wowote wa maarifa,ushauri nk. nitashukuru sana. Thnx

Usingoje kurudi mtandao upo, wenzio wengi tu wametafuata kazi wakiwa huko, interview zinafanyika kupitia simu na mitandao wengi tu wamekamata offer kabla ya kutia mguu Bongo. Yako mashirika ya umma, binafsi na ya kimataifa si kweli kwamba kote lazima umjue mtu.
 
Kama wewe ni mtanzaia hakuna haja ya kupanic kiasi hicho mkuu.... just maliza hiyo ACCA kisha ujue la kufanya...
 
Kijana nenda kamalize shule kwanza ndo ufikirie maswala ya kazi hicho ndo cha maana zaidi. ukija na cheti chako katika kazi 100 utakazoomba waweza pata mojawapo. sasa hivi kazna na shule ukimALIZA HAMIA KWENYE cv NA APLICATION LETTERS
 
Shule yenyewe namaliza chini ya wiki 3, kabla mwisho ya mwaka na nategemea kusherekea NEW YEAR bongo. Kwa ushauri uliotolewa, naanza apply kupitia websites nw na nikifika Tz tu, napitisha cv yangu maofisini
 
Ila kwenye applications za kazi 100 ndo naweza pata 1! Kaazi kweli kweli! Ila mtafutaji hachoki, akichoka kapata. Will persevere
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom