Recent content by kikorobota

  1. kikorobota

    Viti vya vya mtumba vya saluni ya kiume vinauzwa

    Nitumie picha za viti kwa whatsap no.0787323261
  2. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution

    Wakuu Nawasalimu kwa mpigo popote mlipo mnapolijenga taifa. Mie ni mtaalam wa masuala ya fedha kwa kiasi chake, nimetengeneza spreadsheet template ambayo inawezesha ku-manage/track bidhaa/stock kwa kiwango cha hali ya juu kabisa. Spreadsheet template ina sehemu nne ambazo ziko intergrated...
  3. kikorobota

    Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

    Fafanua Mkuu ueleweke, unamaanisha mabeberu wameiangusha ndege kuchafua serikali ya Abiy Ahmed?
  4. kikorobota

    UBORA WA BATI HILI

    Waungwana nauliza ubora wa bati la kampuni ya Kiboko lenye jina la Corrugated Mangalore 28 blue kama linapauka ama lah, nimepita hapo kamaka limenipendeza machoni nataka nichukue nipaulie, msaada tutani tafadhali kwa wenye uelewa.
  5. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution.

    Tuwasiliane hata kwa msg ya kawaida au PM mkuu
  6. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution.

    Karibu, tuwasiliane kaka.
  7. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution.

    Tuwasiliana mkuu niko serious pia kuhusu ishu yako
  8. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution.

    Tuwasiliane mkuu Ze farmer, hatuwezi kushindwana kabisa.
  9. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution.

    Asante sana kwa comments na maswali. Maoni yako ni ya muhimu na nitayafanyia kazi kiufasaha. Kuhusu VBA na Macros bado sijazitumia kwny version hii. Titles na sub titles ziko locked kwny sehemu zote ambazo haziruhusiwi kuguswa kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Hakuna button za ku-calculate kwa...
  10. kikorobota

    SOFTWARE Stock Management Solution.

    Wakuu Nawaslimu kwa mpigo popote mlipo mnapolijenga taifa. Mie ni mtaalam wa masuala ya fedha kwa kiasi chake, nimetengeneza spreadsheet template ambayo inawezesha ku-manage/track bidhaa/stock kwa kiwango cha hali ya juu kabisa. Spreadsheet template ina sehemu nne ambazo ziko intergrated...
  11. kikorobota

    Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

    Ukitaka kujua uzuri au ubaya wa chuo angalia core course ambayo chuo kilianzishwa kwa ajili hyo,kwa mfano UDSM ni law,SUA ni mambo ya kilimo,IFM uhasibu na benki n.k.Kwa hyo kama chuo kinakuwa kilaza kwny core course ujue kuna tatizo.Hivo huwez kugeneralize kuwa chuo ni kilaza kwa kuangalia hzo...
  12. kikorobota

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani nina mdogo wangu kapangiwa Wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga ualimu wa primary anataka mtu wa kubadlishana nae kwny mikoa ya Arusha,moshi na Tanga wilaya yeyote.Tafadhali niPM kama unatapenda kubadilishana nae
  13. kikorobota

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Jamani nina mdogo wangu kapangiwa Wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga ualimu wa primary anataka mtu wa kubadlishana nae kwny mikoa ya Arusha,moshi na Tanga wilaya yeyote.Tafadhali niPM kama unatapenda kubadilishana nae
Back
Top Bottom