Recent content by Kikondo Mburungu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

    Hongera sana. Na ss wafanya nini. Mwezi mmoja kurecover trauma za umalaya kipsychologia ni ngumu. Ila pia kwa sala yawezekana. Endelea kidogo kututhreadisha, kama unania ya kutoa shule ili wengine tukufuate.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri na mambo ya kuzingatia kwa DC Polepole, Musoma yetu

    Mhhhh. Musoma. Hongera. Ila badili jina uwe HARAKA HARAKA.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka TAZARA: Ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) wazinduliwa rasmi

    Hii ni hatua kubwa ya maendeleo ktk nchi yetu.
Back
Top Bottom