Tanzania tunajivunia kua na Treni Kasi. Hongera Mh. Raisi wa awanu ya Tano juhudi zako zinafanya kazi. Miundo mbinu ya Treni Kasi Dar to Morogoro huku harakati zingine zikiendelea.
======
PICHA HAZIHUSIANI NA RELI INAYOJENGWA TANZANIA.
Hatimae Tanzania baada ya Long run imeweza kuonyesha taaswira kubwa za kimaendeleo kutokana na mikakati na Juhudi kubwa zinazochukuliwa na Mh. JPM pamoja na Jopo la viongozi wenye uzalendo na uchungu wa nchi yetu. Sasa Tanzania tunajivunia kua na ndege bora kwa Africa. Hongera Tanzania Hongera JPM.
Hata hivyo wamevumiliwa sana na dharau zao.Hivi Chadema wakichukua nchi watakubali mwanasiasa wa upinzani kuichezea serikali kama wanavyofanya wao? kama wao ni viongozi na wanakiuka sheria za nchi wananchi wanaowaongoza itakuaje? wataendesha taifa la namna gani?
Kaka nakupongeza kwa uzalendo uliouonesha. watajaribu kuihujumu tanzania lakini mwisho wa siku tutawashinda na tutafika katika mafanikio.watashangaa wao na mamluki wao
Shule yenyewe ipo porini. ndio tatizo la kujiamlia kwenda kuanzisha vijiji bila kuzingatia taratibu za uanzishaji wa vijiji. Haiwezi kujengwa kama kijiji hakijakidhi vigezo.wajenge kwa nguvu zao na inawezekana hata haijasajiliwa. ujitambue kabla ya kuposti jambo
Hiyo inaeleweka kwa wananchi wengi saivi kuhusu uwepo wa wanasiasa wanaotumika na mataifa makubwa ya nje wao kila jambo litokalo huko wanaunga mkono mfano mkubwa ni ushoga
Rais anayepigania maslahi ya watuwake.
Alikuwepo GADAFI wa libya hawakuona umuhimu wake ila baada ya kuondoka.zile zilikua choko choko za wazungu siyo watu poa haa siku moja.
bt now they are missing him, ndivyo itakavyo kua kwa Magu trust me.
Jana katika pita pita zangu katika mitandao mbalimbali Dunian nkipita huku www.reuters.com nkaona wanasema korosho imepanda kwa asilimia 10 baada ya serikali ya Tanzania kununua stock yote kwa bei kubwa
Nilichoelewa kuwa tanzania inaplay role kubwa huko dunia kukuza uchumi nchi nyengine halafu...
If you want to learn a new government delivery model, I insist, go to Tanzania.
Despite recent criticism, seemingly calculated at stopping Tanzanian President John Magufuli from his own innovation, the Magufulification, a new leadership model has no end in sight.
Having trended for three...
Katiba mpya siyo kipaumbele chetu watanzania kwa sasa. Hata tukiwa na katiba mpya na usimamizi wa rasilimali za nchi ukiwa kama awamu ya serikali iliyopita ni sawa na bure tutakuwa tunajaza maji kwenye kikapu milele sababu hata wanaoitaka hiyo katiba ni madalali wa rasilimali za nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.