Recent content by KIKOLI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, Soma Mithali 18:18

    Acheni kushabikia dini. Tanzania ni ya wote. Huko Caanan mnakujua ninyi. Ndio maana mtakosa kura kwa udini wenu. Maandiko ya dini yaishie makanisani sio hapa. Hapa zungumzia wanasiasa nguli walisema nini.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi: Mgawanyo wa kura mikoani

    Zamani nilikua naiamini sana jamii forum lakini sasa naona hakuna tafiti za maana. Tanga kama mkoa hauwezi kwenda upinzani.Ni ngome ya CCM. Tupeni habari za kushibisha roho zetu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Wanajamii, Leo hii ukiniuliza mimi nasema nyumba zile zilikuwa hatari kwa taifa. Hivi ukikosana na jirani akatupa ballistic missile moja msasani si itaua viongozi wote wa kitaifa. Kwa nini viongozi wote wa taifa wakae sehemu moja? (Military strategy)
  4. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Ni vema katika kipindi hiki kila mtu akafuata sharia. Kama kuna kikundi kimesha wahi kuutaka uwanja kwa nini wanyme. Kwani mnakurupuka kwenda kuomba sehemuya mikutano. Haya kuna mtu humu ndani anaweza kuniambia ombi la kutaka jangwani lilifanywa lni?
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Lofa ni neon la kiingereza yaani Loafer. Lofa ni mvivu hivyo viongozi na hasa wale aliowalenga ni wavivu wa kufikiri. Na sio wananchi aliosema. Sisi JF tunatumiwa kusema uwongo na tunafundisha watoto wetu kuwa waongo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Wana JF wengi ni wapotoshaji. Mkapa kazungumzia viongozi anaowajua wapi amesema watanzania wapumbavu. Vile vile hamjui fasihi kila kitu mnakichukulia kilivyo.. Kiongozi mmoja aliwahi kusema " I cannot let my Country to the Dogs" Jamaa wakasema katuita mbwa. Tuzungumze hoja na bahati mbaya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa hana Mgombea Mwenza- NEC Website, Je ni Hujuma??? Jionee Mwenyewe

    Nilidhani swali hili lingeenda Chadema kwa nini hawakupeleka picha badala ya sisi kuzungumzia suala hili. Ukiona Chadema hawajasema neno ujue hawajapeleka picha.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chambuzi za Mtatiro zinainufaisha CCM zaidi kuliko UKAWA

    Wengi wetu hatuna utaalamu wa siasa. Mwezi Septemba kutakua na mageuzi makubwa sana wakati ukweli juu ya wagombea utakapojulikana.
  9. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA unaijenga CCM zaidi kuliko kuibomoa

    Mmmh Raisi ajaye ni Magufuli tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

    Labda tusubiri tuone mapokezi yataleta nini. Siwasikii wakubwa wenzake wako wapi?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Lowassas juggernaut rolls on, and Mwalimu cant stop him this time

    inabidi msome fasihi kumuelewa Jenerali.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Gen. Ulimwengu: As the race to succeed Kikwete hots up, Lowassa is the man to watch

    In the Summary Generali is talking about observers and their belief that the Mtandao will win. In the main topic I do not see where you can, with vivid evidence that he was praising the mtandao and that he is part of the mtandao. It is only LITERATURE IN ENGLISH. Can you please send us the other...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Ngonyani atishia kuchukua maamuzi magumu

    Hebu niambieni ukiacha huyo SAFE ambaye hata hajulikani ni nani mwingine?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Kwale kama Kikombe cha Babu, Wananchi tuchukue tahadhari

    Sasa hivi bei ya mayai ya kuku imedorora hivyo wauza mayai ya kuku wanawatumia watu kuandika kuhusu mayai ya kwale ili kunusuru soko lao. Waandishi hawa hawafanyi utafiti wowote wala hawasomi hata mitandao na FDAs za nchi zingine. Ukiingia kwenye mitandao yote utaona faida za mayai ya kwale...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Je UKAWA kuna mvinyo mpya kwenye chupa mpya?
Back
Top Bottom