Recent content by kikilo

  1. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Nimefuatilia sana siasa za Tanzania kwa muda mrefu na mafanikio ya upinzani. Naona Dr George Kahangwa ni mtaji wa UKAWA kwa sababu zifuatazo: 1. Katika uchaguzi huu vijana ndio msingi wa ukawa na Dr George Kahangwa anawakilisha rika la vijana 2. Wagombea wengine walishagombea (DR Slaa, Mbowe...
  2. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    tpaul, imeshawekwa tayari humu. Pitia uzi tena.
  3. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    omarilyas, nashukuru huo ni mtazamo wako. Hao unaowafikiri wewe wanatumia akili ya wapi?
  4. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Wakuu, nimekumbana na hii ikisambazwa kwenye anwanipepe za wakazi wa jimbo fulani MFAHAMU ZAIDI DKT. GEORGE LEONARD KAHANGWA Dkt. George Leonard Kahangwa ni mwenyeji wa mkoa wa Kagera, Wilaya ya Missenyi, akitokea katika kata ya Kanyigo, kijiji cha Kikukwe. Alizaliwa tarehe 05 Mei, 1969...
  5. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    amesawahi lihombea urais wa Daruso.ameshakaimu ukuu wa idara kwa miezi sita,sasa no mmoja wa viongozi wa udasa
  6. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Kalamu yake kwenye magazeti
  7. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Ukabila wako hauna nafasi katika Tanzania ya leo
  8. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Uhakika huu umeupata wapi?
  9. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Nimefuatialia kidogo kwa sasa, naambiwa mgombea mtarajiwa huyu Alikuwa best student UDSM 2004, shahada ya awali, Ana Masters kutoka University moja huo Finland Ana PhD kutoka Uingereza, sandwich ya uchumi na elimu
  10. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Sina full historia yake lakini binafsi namkumbuka enzi hizo za uanafunzi mlimani, alikuwa Rais Mhasisi wa chama cha student-teachers. Baada ya hapo aliingia katika siasa na kuwa Mwenyekiti Taifa wa vijana wa NCCR-Mageuzi. Ndani wa chama hicho pia alishika nafasi ya Ukurugenzi wa Itikadi na Sera...
  11. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Kufahamika hukutoshi mtu kuwa mgombea urais, hata masanja ya wa ze komedi anafahamika lakini hajawa rais. Slaa tutampima naye kama anatufaa tena
  12. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Hii sio udaku, hapa ni jamii forum sio face1000 amabapo udaku unafanyika. hii ni habari ya kweli.
  13. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    ni mwanachama wa NCCR
  14. K

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Mmoja wa madaktari wa falasafa na kijana wa UDSM Dr GEORGE LEORNARD KAHANGWA anakusidia kuchukua fomu Ya kugombea urais wa JMT kwa tiketi ya ukawa ili atimize ndoto za watanzania ya kuwaletea maendeleo. (chanzo watu walio karibu naye na hivi sasa anaandika mkakati wake wa kuipaisha hili taifa).
Back
Top Bottom