Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

Mgombea wa UKAWA lazima atokane na CHADEMA , CUF , NCCR, au NLD, huyo jamaa yako yeye ni chama gani?

Maana UKAWA sio chama cha siasa, ni muunganiko wa wasaka madaraka!

Bora wasaka madaraka kuliko wang'ang'ania madaraka=ccm. Maana wanazidi kuliangamiza Taifa na hali mvuto wa kuendelea kuwa madarakani umewaishia.
 
Kumbuka hiyo ni haki yake ya kikatiba

Yeye atangaze kugombea kupitia chama chake na chama chake ndicho kitampendekeza UKAWA kama wataona anafaa. Hivi tumefikia kipindi cha kuongozwa na teja kweli?!! au mnafanya mzaha tu.Haya mambo ya kutangaza nia pelekeni CCM kwani UKAWA wana utaratibu wao na kama mgombea hata hajui utaratibu huo, huyu hafai kuwa mgombea.
 
Wakuu,
Tetesi kutoka UDSM main campus ni kwamba mmoja wa madaktari vijana wa falasafa Dr George Leonard Kahangwa huunda akachukua fomu kugombea urais wa JMT kupita muungano wa UKAWA (Chanzo watu walio karibu na mgombea mtarajiwa). Namtakia kila la heri katika uthubutu huu.

mkuu mtoa mada naomba utupe CV ya huyo mgombea wetu mtarajiwa.
 
Yeye atangaze kugombea kupitia chama chake na chama chake ndicho kitampendekeza UKAWA kama wataona anafaa. Hivi tumefikia kipindi cha kuongozwa na teja kweli?!! au mnafanya mzaha tu.Haya mambo ya kutangaza nia pelekeni CCM kwani UKAWA wana utaratibu wao na kama mgombea hata hajui utaratibu huo, huyu hafai kuwa mgombea.

Nani unaye msema ni "teja"?
 
Wakuu,
Tetesi kutoka UDSM main campus ni kwamba mmoja wa madaktari vijana wa falasafa Dr George Leonard Kahangwa huunda akachukua fomu kugombea urais wa JMT kupita muungano wa UKAWA (Chanzo watu walio karibu na mgombea mtarajiwa). Namtakia kila la heri katika uthubutu huu.

George Kahangwa.... A class brain but inapokuja kwenye Uongozi na tena uongozi wa nchi huu ni utani usio tija!
 
watanzania tuna matatizo. wenzetu uwa wanapata muda wa kumsikiliza mgombea sera zake ndo wanaamua. sisi ikifika mwezi 9 wakazindua DART tayari mgombea atakayeomba kapita mana watadai wao ndo wajenzi wkt ni kodi zetu. hivi mnaijua cv ya rais Mkapa? kasoma kumzidi KAHANGWA? na nani kasema kuna level ya elimu ya kuwa mbunge na nyingine U rais? hamjui katiba inayopendekezwa imesema ubunge ukitaka ni kujua kusoma na kuandika! tumewapata watu tuwatumie tuache fikra za kipuuzi eti u rais DK KAHANGWA bado. watanzanie tumenyimwa kuelewa ndo tatizo.badilikeni
 
Wakuu,
Baada ya kutaarifiwa na wasomaji kadhaa wa jamiiforums kuhusu uwepo wa uzi huu, nimepitia hapa kusoma kilichoandikwa. Hakika nimesoma kwa shauku sana maoni yenu mazuri.
Inatia moyo sana kuona watanzania tunatumia njia mbalimbali kujadili na kutafakari juu ya uchaguzi mkuu unaotukabili. Bila shaka mijadala kama hii, hatimaye itatufikisha katika uamuzi mzuri.

Pengine la kusisitiza kwa sasa, ni kwamba kwa wote tulioko nchini na tuliofikisha umri wa kupiga kura (miaka 18+) tukajiandikishe katika daftari la kudumu la wapigakura (japo BVR ina matatizo). Tusipojiandikisha, tutapoteza fursa ya kuchagua viongozi wanaotufaa; na kwa kweli tutakuwa hatujitendei haki sisi wenyewe. SHIME TUJIANDIKISHE.

Libarikiwe Taifa letu.
Ni mimi, George Kahangwa.
 
Kutoka UDASA hadi kuwa rais wa JMT? Watu wanauchukulia poa urais

Ofkoz hata Dkt. Kitila ni kiongozi wa UDASA. Sasa huyu George agombee URAIS wa NCHI? Huko UDASA ni Mwenyekiti au? Mie napendekeza aanze na Udiwani wa Kata ya Ubungo!
 
Yeye atangaze kugombea kupitia chama chake na chama chake ndicho kitampendekeza UKAWA kama wataona anafaa. Hivi tumefikia kipindi cha kuongozwa na teja kweli?!! au mnafanya mzaha tu.Haya mambo ya kutangaza nia pelekeni CCM kwani UKAWA wana utaratibu wao na kama mgombea hata hajui utaratibu huo, huyu hafai kuwa mgombea.

ana rekodi IPI ya utendaji hadi apewe jukumu kubwa HVO?
 
Wakuu,
Tetesi kutoka UDSM main campus ni kwamba mmoja wa madaktari vijana wa falasafa Dr George Leonard Kahangwa huunda akachukua fomu kugombea urais wa JMT kupita muungano wa UKAWA (Chanzo watu walio karibu na mgombea mtarajiwa). Namtakia kila la heri katika uthubutu huu.

AH AH NDO MMEKAA HALL 3 MKAMALIZA KUFANYA YENU ETI KISHA MKAJA NA MKAKATI HUU, KWANZA UKAWA NI CHAMA GANI?? MUMSHAURI AGOMBEE MTAA WA MLIMANI, TUPA KULEe
 
Siyo mbaya kama anagombea uraisi wa UDASA ili apambane na Associate Professor Kitila Mkumbo. Uraisi wa nchi tuna yule yule Dr. Wilbrod Slaa anamsubiri tu mgombea wa CCM ili kivumbi kitimke hapo October 2015
 
Kwa namna alivyovaa tu haonekani kama ni mtu makini..

n7.jpg

Anaonekana kwenye picha, wakati viongozi wa nccr walipofanya mazungumzo na Rais anayeelekea kumaliza muda wake. Mtu wa pili baada ya Mbatia...
 
Back
Top Bottom