Boss GENTAMYCINE Umesahau ... Rais ana nafasi 10 za upendeleo ??? !!!
Ila Bashite ... Kavuna alichopanda ... Na iwe fundisho kwake na Viongozi wengine wa aina yake
Boss G Sam Undumiwakuwili na Double Standard zake ndio zimemuangusha.
Hata maandiko yanasema, wa kusujudiwa ni Mungu pekee.
Sasa kakosa yote, Kakosa Tenda zake, Kakosa Mjengoni.
Uzuri hajaanguka mwenyewe, Kuna Vikisi vimeng'oka Buaaanaa ....
So kifo cha wengi .....
Boss Pascal Mayalla Yaaani miaka 5 imeisha umeangukia Pua ???!!! Hata uteuzi kwenye Bodi yoyote haujapata ???!!!
Ina maana hawaoni Juhudi zako zote hizi ???!!!
Acha kubeza Upinzani, Upinzani una Mchango Mkubwa Sana na Mno kwa Maendeleo ya Nchi.
Mimi naamini bila Upinzani Mh. Rais wetu...
Boss My Son drink water Wana Deep ... Ila Nia yao ndio hiyo ....
Iwapo Mh. Rais amedhubuti kwa baadhi ya Issue ila mimi siungi Mkono Hoja wa kumwongezea Muda.
Boss Tabutupu Usemeyo yana ukweli wote ni Mjinga tu asiyejua hayo.
Mbona umetuwekea picha ya Spika Ndungai inhali habari ni ya Mbatia???!!!
Mimi Binafsi, Simuungi Mkono huyu aliyeleta Idea ya Kuiua Chadema. Wapinzani wanaibua mambo ambayo wengi wetu tunakuwaga gizani, yawe ya kweli au Uongo au...
Boss usinijibu hivyo Hivi ni kweli amemuoa Mtoto wa Spika Ndungai???!!!
Ushauri wangu kwake: Si Asa ni mchezo mchafu, akae kimya tu. Akipewa Mfupa MCC, ajilie zake taraaatiiibu tena kimya kimya.
Boss Nigrastratatract Kunywa Fanta Kubwa hapo kwa Mangi, nakuja kulipa, Akupe na Doom ya kuuwa nyuki.
Naunga Mkono Hoja, Kwenye Interest za Nchi, Tunatakiwa tuwe kitu kimoja, Siasa tuweke pembeni.
Najua Maumivu ya wengine wanayopitia mpaka wanaombea mpaka Interest za Nchi zisifanikiwe tu kwa...
Boss Pascal Mayalla Namnukuu Prof Asad, kuna siku alisema ... Tujenge Taasisi Imara na si WanaSiasa au Mtu.
Ukiwa na Taasisi Imara itatoa mazao ya Watu Imara.
Walivyomkata Mamvi, walimwambia, Hakuna Mtu maarufu zaidi ya Chama, Mamvi alikuwa maarufu kwenye Chama, Mamvi alikishika Chama, Mamvi...
Boss Pascal Mayalla Post na Mada yako ni ya Kinafiki sana na mno, Wewe ni Gwiji wa Tasinia hii ya Habari, Tumia Kalamu yako Kuponya, Kuleta Umoja wa Kitaifa, Tumia Kalamu yako Kujenga.
Kuanza kulaumu wanoombea mabaya wenzao bila kuainisha sababu zao za kuombea mabaya wenzao ni kujishushia...
Boss barafu Acha nianze Upande wa Pili halafu nije Upande wako Boss, Nimekusoma nimekuelewa sana.
Usingefiwa Mkuu usingekuja na Uzi mkali hivi, Jua Mtu kama haujaibiwa, ukikuta Mtu au Watu wanapiga mwizi, utawalaumu wanaompiga mwizi, Sasa ngojea uibiwe, ukimwona mwizi unachukua jiwe na unapiga...
Boss heradius12 Sasa Kama unajua Serikali haipokei Kodi mbona umeshauri Mh. Rais asamehe Kodi???!!!
Kuhusu Attachment uliyotuma, Ni kitu kile kile nilichosema, Hizo Cheque kwa kila Raia si bure, Marekani kila Raia Ni lazima u file tax mwanzo wa mwaka, mwisho Ni April 15 kila mwaka. Ni Kama...
Boss heradius12 Sikubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo:
Hata Nchi zilizoendelea hakuna kitu kama hicho, Nchi zilizoendelea kuna kitu kinaitwa Stimulus Packages, yaani TRA ya huko wanachofanya wanakukopa pesa halafu mwanzo wa mwaka unapo files tax, wanakukata. Kingine Nchi zilizoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.