Recent content by kijumbamshale

  1. kijumbamshale

    Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

    Watu hawana ubinadamu wanawaza pesa tu mpaka yakiwakuta, unaweza juona watu walivyokuwa wanashawishi kuweka pesa mbele ili upate huduma ndio tulipofikia sasa hivi. Lakini kwa yule anayesoma uzi huu ajue tu suala la damu halina mwenyewe likiachwa kuangaliwa kwa minajili ya pesa watu wengii sana...
  2. kijumbamshale

    Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

    Mdogo wake una O negative........ Dada ana B negative...... Ok hope ni wa baba mkubwa au mama mkubwa lakini sio baba na mama mmoja. Kama ni baba na mama mmoja then mawili either hosp walikosea kupima magroup au uongee na mama vizuri
  3. kijumbamshale

    Halotel huu ni wizi

    Hatujakataa kuwa permenent subscription issue ni kuwa upewe huo mkopo lakini mkopo hujapewa na wao wanakata kwa nini?
  4. kijumbamshale

    Halotel huu ni wizi

    Wizi mwingine huu sasa kama nataka kununua sitaki mkopo kwa nini wanilazimishe?
  5. kijumbamshale

    Halotel huu ni wizi

    Ni mara ya pili sasa inanitokea ninapoomba huduma ya kopa salio naambiwa sijakidhi vigezo na sipewi mkopo, lakini cha kushangaza nikiweka vocha nakatwa fedha ambayo sikupewa, piga customer service sasa kama wanapatikana. Huu sio uungwana kabisa!!! Ni wizi wa mchana peupe
  6. kijumbamshale

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Ni kweli kwamba condom na calendar ni salama lakini ukiangalia failure rate ya hizo njia mbili ni kubwa sana. Kijiti na kitanzi kitanzi ni salama zaidi ya kijiti kwa sababu kijiti kinafanya slow release ya hormones ambayo ndio kidonge na sindano inachofanya tofauti labda inaweza kuwa aina ya...
  7. kijumbamshale

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Takwimu zinaonesha watumishi wengi wa kada ya afya na familia zao wanatumia Kitanzi, kwa nini kitanzi? Mara nyingi madhara makubwa yanayotokana na dawa za uzazi wa mpango huwa yamesababishwa na muingiliano wa hormones ambazo zinatokana na dawa za uzazi wa mpango zilizomo kwenye sindano...
  8. kijumbamshale

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    Lakini kama sio mtunzaji mzuri nakishauri usifikirie kununua SONY vioo vyake viko delicate sana na crack kidogo tu touch imeshakufa .
  9. kijumbamshale

    Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Hahahaaaaa ndio tecno hiyo inakua na application jina, hata hizo fingerprint zinaoption ya kuchora chora na pin pia, inachofanya ni kukurahisishia kufungua simu badala ya kuchora unaweka kidole, bahati mbaya kuna simu fingerprint ipo nyuma kwenye cammera kitu kinachofanya accessibility yake...
  10. kijumbamshale

    Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Ukipata simu yenye hii function utafuta kauli yako ya fingerprint haina mchango wowote
  11. kijumbamshale

    Msaada wa touch asus zenfone2

    Hizi mambo za wizi wa simu acha tu, walinichukulia ka xiaomi mi4i mpaka leo kananiuma aisee
  12. kijumbamshale

    Msaada wa touch asus zenfone2

    Simu tajwa hapo juu imevunjika kioo yeyote anayeweza kusaidia upatikanaji na fixing tuwasiliane PM
  13. kijumbamshale

    Nini suluhisho la hii simu, waungwana! Msaada tafadhali...

    Mpelekee mwalimu wa physics kwa ajili ya kufundishia ile topic ya prism
Back
Top Bottom