Recent content by Kijukuu

  1. Kijukuu

    Ukipeleka shitaka Polisi kuna ulazima wa kupeleka na mshahidi?

    iko hivi, kuna tukio ambalo nimeenda kuriport polisi na mtuhumiwa yupo ndani tayari tunasubir file liende mahakamani, ila leo siku kama ya 3 file halijafika alaf na polise anaomba aonane na hao mashahidi, ss ndio nikawa najiuliza ni sahihi police kuonana na mashahid kabla ya mahakama (au kuna...
  2. Kijukuu

    TECHNO K9

    Nina Techno spark k9, ime pata tatizo la touch kuna mda touch inafanya kazi na kuna mda ina stuck cjajua nin sababu ya tatizo hilo na haijaanguka wala kuingia maji. => Msaada kwa anaejua kutatua hilo tatizo au ushaur => au kwa anae iiitaji kwa exchange au pesa pia namkaribisha
  3. Kijukuu

    MSAADA

    hata mm nawasubir ila sion mtu
  4. Kijukuu

    MSAADA

    Habari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamona elimu ya SHERIA, naomba kuuliza =>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahid au mashahid wanatakiwa waonekane mahakamani tu. Maana nimekuwa na wasiwasi kidogo.
  5. Kijukuu

    Ukipeleka shitaka Polisi kuna ulazima wa kupeleka na mshahidi?

    Habari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamoja na elimu ya SHERIA, naomba kuuliza =>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahidi au mashahidi wanatakiwa waonekane mahakamani tu. Maana nimekuwa na wasiwasi kidogo.
  6. Kijukuu

    Wadau wa Elimu naomben msaada.

    Eti inawezekana mtu kusoma Development plan, ngazi ya diploma. Then ajekusoma accountancy degree? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kijukuu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Sawa kaka, shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kijukuu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    HGE Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kijukuu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Ni kweli kaka, ila mambo yana badilika. Nilikuwa nataka nipige Education sabab niliona ndio kuna urahic wa ajira ila ss kila mtu ananiambia niachane na hiyo kitu. Ndio maana naangalia upande wa2 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kijukuu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Kwa nini? Naomba unieleweshe kidogo kuhusu hiyo accountancy Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom