Recent content by kiju5

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile wajibika na achia ngazi

    Daaah ATA hiyo elfu kumi ntaipatia wapi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kufunguliwa vyuo vya nje kwa sababu ya Corona

    Tatizo kubwa maneno n mengi kuhusu swala la kwenda india
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kufunguliwa vyuo vya nje kwa sababu ya Corona

    Wanakitambua,tulihakikishaaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kufunguliwa vyuo vya nje kwa sababu ya Corona

    Daaah walisema ni mwezi huu sasa mm sijui
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kufunguliwa vyuo vya nje kwa sababu ya Corona

    Wanachodai ni Kwa madarasa yanayoendeleaa Yani siyo Kwa first year,kuna dongo anaanza first year mwezi huu so nilikuwa nauliziaa Kwa wadau je ni kweli ama tu no uongo?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kufunguliwa vyuo vya nje kwa sababu ya Corona

    Kuna mdogo amepata nafasi ya kwenda kusoma chuo nchini India ,mpaka sasa ana mwaka na zaidi yaani toka mwaka Jana janga la Corona lilipoanza mpaka sasa.Vyuo vingi nje nchi India vimefungwa!! Msaada n kweli wanafunzi bado hawaendi India ? Tulipata chuo kupitiaa ma agent hawa wa vyuo je ni kweli...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

    Sawa ila kumbuka college zipo nyingi za degree Kwa walimu mfano udsm ina duce,muce,na udsm na kila mwaka wanagraduate walimu 5000-6000,pia kuna udom -ualim,st Augustine ,Mwenge ,na vipo vingi Tu pia idadi wanaopata na kuhitimu degree ni wengi Sana pia
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    Wananchi ndiyo wapinzani na si hawa wanasiasa wapinzani na watawala ni maslahi tu.Ni swala muda Tu ,wananchi watakuwa wapinzani.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Drones ni game changer kwenye vita

    [emoji16][emoji16] can't u see any difference?
Back
Top Bottom