Recent content by kijiweniJR

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jiwe kubwa(Asteroid) kupita karibu na Dunia April 13, 2029

    mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake alishazungumzia kuhusu ilo katka mafundisho yake
  2. K

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    Wsikilizaji naona timu ya mkulu ndo inaondoka uwajani naona ikishangiliwa na wanafunzi na watoto wenye chini ya miaka 15 sijajua kwanini wengine hawamshangilii,yeyote anaeweza kulizungumzia hili tafadhal..
  3. K

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    yule aliesema raisi anaongiza kwa tatu bila kwel hakukosea,mh anasema yeye bado yupo madarakan wasubirie lazima atawaongeza kabla hajaondoka madaraki alafu kamalizia Tanzania hoyeee ila sikumbuki kama nimesikia watu wakiitikia kwani nilikua kwenye kicheko kikuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    nimeona watu wameanza kupunguza kupiga makofi dizain kama walijipanga kusikia mengine na wanasikiliza mengine
  5. K

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    umesahau kitu mkuu kasema ila wasiende kukutania dabai
  6. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Kangi Lugola zilizoacha shaka kubwa

    yapyap mh wazir angekuja na hizo fact kuliko kuliko kuleta siasa katika mambo ya kutaaluma
  7. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Kangi Lugola zilizoacha shaka kubwa

    Exactly,na hapo ndo wazir hakumuelewa CAG.mkaguzi anasema hajaona document zinazoonesha ziliitajika sare,viatu,mikanda na kofia zenye thaman za kiwango gani na pia hakuna document zinazoonesha kua kweli hizo sare zilununuliwa kwa thaman flani.lkn pia huo ni ukaguzi wa mwaka Jana yaan 2017/2018...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Azolla mkombozi kwa wajasiriamali – kilimo na ufugaji

    wauzaje mbegu ya azola mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    Sidhan mkuu. mimi kuna sehemu nafanya kazi lkn Mara baada ya mda wa kazi naanza kupiga bodaboda kuanzia saa 12 join hadi saa sita usiku narudi kulala, Nina mwaka sasa lkn sijawahi kupata chini ya elfu 8/day Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom