Recent content by kijiweni kazi

  1. kijiweni kazi

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Duuuuu nishidaaaaa
  2. kijiweni kazi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mmmm plesha kaka hiyo mie niko 50 50
  3. kijiweni kazi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mechi ndoo imeanza na dakika ya 06 bado milango migumu pande zote.
  4. kijiweni kazi

    Naomba kuelimishwa kuhusu Email

    Unatumia cm laptop? Ili nikuelekeze best.
  5. kijiweni kazi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Duuuu kweli mpira umeanza kufuatilia lini? Nne alifungiwa wapi? Moja tukamfungia kwake mechi ya maludiano, mie sina hofu na timu yangu ushindi lazima leo.
  6. kijiweni kazi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bado unakuwa Thomaso! !!
  7. kijiweni kazi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool v Real Madrid Hii ni Mechi ambayo inatupiwa jicho sana hasa kwa vile inakutanisha Vigogo wenye majina makubwa katika Historia ya Soka Barani Ulaya. Real Madrid, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Ulaya, wanatua Anfield wakiwa Vinara wa Kundi A wakiwa wameshinda Mechi zao zote mbili na...
  8. kijiweni kazi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ni ushindi tu JOAQUEM
  9. kijiweni kazi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jamaani dakika zimebaki chache msiangalie mechi yyt njoeni Liverpool muone soka linavyo dunda, kwa mwenye histolia nzuri ni lini Madrid wakaifunga Liverpool?
  10. kijiweni kazi

    Simba inatafuta mchawi

    Kwani kuchati kunapunguza mazoezi? Nilikuwa sijui.
Back
Top Bottom