Kweli kabisa Daudi, watu smart hawakurupuki..vitu kama hivi inabidi uwe na uelewa wa sheria, au upate ushauri wa sheria..Hofu yangu serikali isije kushindwa kesi nyingi kwa kutofuata taratibu za kisheria kuishia kulipa fidia. :(
Napongeza alichosema bwana Yusuph, yeye ni mfanyabiashara mkubwa, mwanasiasa na mwenyekiti wa Yanga anayeheshimika nchi na kwingine Duniani. Hauwezi kumwita kituoni hivyo mtu aliyekuzidi umri na kila kitu kingine..Watanzania ni watu wenye hekima na heshima sana.
Lazima awaite, Kutuhumiwa sio kitu kidogo..Yeye akiwa mfanyabiashara mkubwa na mwenyekiti wetu wa Yanga, inamuaribia biashara zake na uaminifu kwa mashabiki wa Yanga na uongozi kwa ujumla.
Lazima aelezee atleast sisi wananchi wa kawaida ambao hatutoyasikia yatakayojiri huko polisi siku ya...
Mwanangu umenena kabisa...Mimi nilikuwa naona ni ustaarab kama hawa viongozi wastaafu na wafanyabiashara wakubwa nchini wasingetajwa hadharani..Wangewaita tu kimyakimya na kuwahoji..Kutuhumiwa na kuwa mshtakiwa ni vitu viwili tofauti. Inaweza kuleta madhara makubwa sana katika biashara za watu...
Kuna maswali mengine ya kinafki..kama hauna swali bora unyamaze..sasa unauliza vyombo gani unamaanisha nini? haujui vyombo vinavyohusika na uchunguzi..Au unafikiri anaongelea vyombo vya kupikia?
Boss tuhuma gani za rushwa unazoziongelea na upigaji upi? Leo hii hapa nikuambia jielezee utaelezea mazuri yako au mabaya yako? Jenga hoja kwanini asipewe sio unaanza kubishashana na facts.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.