Pole mkuu, umechelewa kuhamisha hela zako, mwenzio mimi yamenikuta
hayaooo, nika hamisha hela zangu mwezi ulio pita. kwakweli wanasumbua, ATM zao mizengwe tupu. ukichukua laki 4, wakati mwingine machine inakatata, mpaka uchukue kidogo kidogo, kumbuka unavyo chukua kidogo kidogo kwao kila...