Recent content by Kihwamngwada

  1. K

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lafikia Tzs trilioni 61.8

    Uchumi wetu unakua sana,tunafedha nyingi xana na tunatekeleza miradi yote kea fedha yetu ni vema watanzania tukatembea vifua mbele! Tuweni wazalendo! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Ni busara ukasoma kwanza maana na katiba ya TLS ucje chekwa Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA:Kuhusu kupima HIV/AIDS

    Duuu! Kweli wewe ni kiboko walahukujali uhai wa mkeo Mshirikishe mkeo usbuhuda huu ili atambue wewe ni nani kwake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Kumbe msaidizi anasiini saini yako! Kumbe tz tuko juu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Sielewi kwa nini tunatumia nguvu nyingi xana kuwaaminisha wapiga kura juu ya ubora wetu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maoni ya watu maarufu mbalimbali kuhusu kifo cha mwanafunzi wa NIT katika maandamano ya CHADEMA

    Kwa haya yote bado Tanzania unastahili kuwa nchi ya amani!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

    Najaribu kukumbuka maneno ya Trump!
Back
Top Bottom