Recent content by Kihoronge

  1. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wenu, Nimekamatika kiuchumi.

    Aiseeee,watu mnajua kufukua makaburi. Shikamoo teknolojia.
  2. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Kwamba CCM ndo wana mwelekeo?
  3. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Ethiopia ni nchi yenye barabara zenye viwango ambavyo Tanzania huwezi kuviona

    Ujenzi wa barabara nzuri ni ishara ya nchi yenye maendeleo.
  4. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Ethiopia ni nchi yenye barabara zenye viwango ambavyo Tanzania huwezi kuviona

    Mbona kila siku wananchi wake kuikimbia nchi yao??
  5. Kihoronge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mkitaka kununua mashine ya kunyolea huwa mnasemaje?

    Hivi vya wanawake ni tofauti na vya wanaume?
  6. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Hivi elimu na shule za Tanzania zimekumbwa na nini?

    Shule za private zina upumbavu mwingi sana. Naomba niishie hapa.
  7. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Lipa madeni mkuu,madeni hayapendi kelele.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Mimi nataka kujua tiba ya acid reflux,mwanzoni nilijua ni vidonda vya tumbo na nikawa nahangaika kuvitibia. Nimekuja gundua ni acid reflux. Hizi dawa za hospitalini zinatuliza tu,hakunaga za kienyeji? Wengi wanaojitangaza mtandaoni nawaona kama matapeli tu.
  9. Kihoronge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Funguka jinsi ulivyopigwa matukio wakati wa mahusiano

    Ajazie nyama sio?
  10. Kihoronge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Wakati unalambwa unasikia raha ama?
  11. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

    Huyu mwamba sijui anamaanisha nini!
  12. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Watu weusi watabaki masikini na duni milele

    Pole mkuu,hata sina ujuaji kivile. Nimesahau tuu kuweka neno 'la' kwenye bandiko langu. Nilimaanisha bandiko lako lote halina neno la kiingereza,lakini si limeeleweka? Na ninasisitiza kuwa kwenye mijadala humu tunaweza andika kwa kiswahili kitupu bila kuchanganya na maneno ya kiingereza na...
  13. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Watu weusi watabaki masikini na duni milele

    Bandiko lako lote halina hata neno moja kiingereza,hukueleweka?
  14. Kihoronge

    JamiiForums Tanzania Watu weusi watabaki masikini na duni milele

    Ngozi nyeusi ina matatizo sana.
Back
Top Bottom