Recent content by Kihama Kijewa

  1. Kihama Kijewa

    System hii mpya Muhimbili watakufa wengi

    Yaani wewe sijui huelewi? Ngoja ya kukute. Hujawahi kuumwa wewe au kuuguliwa. Utapokwenda MNH ndio utajua tunachozunmza hapa. Sisi wenyewe tunaelewa importance of IT in providing efficiency and controls. Sijui Kama mwenzetu unajua, wenzetu wanaanza na pilot study mfumo haujakaa sawa mna...
  2. Kihama Kijewa

    System hii mpya Muhimbili watakufa wengi

    Baada ya kutumbuliwa majipu, na kubanwa kwenye mapato, Muhimbili sasa hivi wagonjwa wanapata shida mno. Ukitaka kupata matibabu Muhimbili ni shidaaa. Mke wangu alimplekea mtoto Ijumaa iliyopita Kitengo cha Damu, madaktari walifika saa 6 mchana sijui walikuwa na kikao sijui kitu gani. Vipimo...
  3. Kihama Kijewa

    TANESCO wanaomba kushusha Bei ya Umeme sio kupandisha

    Wewe utakuwa una lengo lako la kutudanganya. Hiyo unit moja ambayo unauziwa Sh 700 na Tanesco yako. Unit moja ni sh.298 bila VAT
  4. Kihama Kijewa

    TANESCO wanaomba kushusha Bei ya Umeme sio kupandisha

    Kwenye ombi hilo la TANESCO EWURA wakikubali Service Charge futilia mbali. Big Up TANESCO kwa kusikiliza kilio cha wananchi na Profesa chapa kazi usisikilize majungu. Tunakuaminia, wewe ni jembe.
  5. Kihama Kijewa

    TANESCO yapeleka maombi EWURA kuomba kupandisha bei ya umeme

    Summary of the Application Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) is a Tanzanian parastatal organisation established in 1964. It is wholly owned by the Government of Tanzania. Its business includes the generation, transmission, and distribution of electricity, and the sale of...
  6. Kihama Kijewa

    TANESCO yapeleka maombi EWURA kuomba kupandisha bei ya umeme

    Nyie ni wasomi musiwe munayaamini magazeti, fanyeni udadisi. Nenda kwenye website ya EWURA. TANESCO wanashusha sio kupandisha. www.ewura.go.tz Wanapunguza. Nenda www.ewura.go.tz
  7. Kihama Kijewa

    Luku ina tatizo gani?

    Nimenunua umeme kwa MPESA na hakuna tatizo. Angalia mtandao wako. Ila naona tusiwe wepesi kukimblia kupeleka lawama TANESCO hata hii mitandao yetu ya simu nayo ni vimeo, majipuuuuu. Network zero.
Back
Top Bottom