Kihama Kijewa
Member
- Feb 26, 2016
- 8
- 5
Baada ya kutumbuliwa majipu, na kubanwa kwenye mapato, Muhimbili sasa hivi wagonjwa wanapata shida mno. Ukitaka kupata matibabu Muhimbili ni shidaaa.
Mke wangu alimplekea mtoto Ijumaa iliyopita Kitengo cha Damu, madaktari walifika saa 6 mchana sijui walikuwa na kikao sijui kitu gani.
Vipimo ni mpaka uingizwe kwenye system, huwezi kumuona dokta hata kama unakufa mpaka uingizwe kwenye system, mara system haipatikani, kupewa dawa ni mpaka uonekane kwenye system na hapo utazunguka Ofisi zaidi ya tano mpaka ukamilishe hiyo hatua.
Ikifika muda wa kutoka Madaktari ni On the Dot, hata kama ana mgonjwa muda wake umekwisha huduma hupati.
Mke wangu na mtoto walishindwa hata kupata dawa na baadhi ya vipimo hawakupata kutokana na milolongo hiyo ambayo naona haina tija.
Imebidi leo arudi tena Muhimbili, na bado mpaka sasa tangia saa 2 asubuhi hajapata huduma, Dk ambaye alikuwepo last week ambaye hakusaini document hayupo na hakuna mwingine wa kusaini hizo document.
Mbaya zaidi wanasema mpaka Dk aliyetoa huduma last week awepo.
Kuna wagonjwa hawana hata msaada, wamelala tu kwenye corridor wanaambiwa wasubiri system isome.
Hii sijaipata vizuri, ni mgomo baridi kwa kubanwa kwenye mapato au nini?
Mkurugenzi unayekaimu angalia maeneo hayo kuna hujuma ya chini kwa chini.