Luku ina tatizo gani?

wingman7

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
346
76
Kila ninapoenda kununua luku inasema General error occured sasa tatizo ni nini meter or network yao wenyewe TANESCO?
 
Kuna tatizo. Kila nikinunua kwa Mpesa kwenye Simu napata Meseji mwisho kuwa malipo haya kuwa 'successful'. Kulikoni??
 
Pole sana. Ila mimi nilinunua saa 10:00 alasiri jana na haikunisumbua ndani ya dakika moja nikawa nimepata token. Jaribu kupiga customer care ya Vodacom M-Pesa waombe namba ya customer Care Tanesco kitengo cha LUKU. Nilikuwa nayo hiyo namba bahati mbaya sana simu ilisumbua nika reset simu ikafuta kila kitu. Pole sana
 
nenda kabadilishiwe tarrif ya mita yako inaonekana una nunua umeme mara kwa mara nenda kwa wanaouza umeme kwa kompyuta watakupa namba za kuziingiza alafu ndo utaingiza energy token zako.....la sivyo hutafanikiwa kununua umeme
 
Kuna tatizo. Kila nikinunua kwa Mpesa kwenye Simu napata Meseji mwisho kuwa malipo haya kuwa 'successful'. Kulikoni??
Sio Mpesa tuu ataa tigo pesa .nafikiri tatizo ni network ya tanesco
 
Naomba kuelekwzwa jinsi ya kusoma unit zilizobaki kwenye hizi mita mpya kwasababu yaani namba zinatokea kwa kubadilikabadilika yaani zinacheza huwa hazikai hiyohiyo inaweza kusoma Mara 19, mara 27 0.38 kwahiyo hata sielewi
 
Nimenunua umeme kwa MPESA na hakuna tatizo. Angalia mtandao wako. Ila naona tusiwe wepesi kukimblia kupeleka lawama TANESCO hata hii mitandao yetu ya simu nayo ni vimeo, majipuuuuu. Network zero.
 
Hakuna tatizo la ununuzi wa LUKU, unanunua kwa kutumia mtandao gani ama njia gani ya manunuzi?
 
Nyemanze bonyeza 003 then press enter

Poa kaka, ila Leo nna tatizo, najaribu kununua umeme,natumiwa meseji hii "
UNEXPECTED ERROR TRANSACTION, REF NO:BZ ......METER NU.BER,,,,, PLEAZ TRY AGAIN,,,,,,,nipe msaada mkuu,maana Leo jumapili tanesco sidhani km wapo hewani costumer care,,Koleba
 
Back
Top Bottom