usitokwe na povu jingi, tumeshawaambia zamani mtanyooka tu. Hiv we Bavicha nini maana virusi wabaya kwenye hili ni Bavicha hakuna wengine. Ila tumeshawatarifu tangu zamani kwenye uzi huu hapa chini kama hukusoma.
Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu
Mleta mada hii mbona unatokwa na povu sana? au we bavicha nini maana bavicha hili linawauma kuliko CUF Zanzibar.
Hili tumeshawajulisha zamani mkakataa na uzi tuliotuma hapa huu hapa.
Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu
Kijana huyu wa Bavicha hajasikika kabisa tangu alikua amekamatwa na polisi kwa uchochezi wakutaka kuzuiya mikutano ya CCM kule Dodoma.
Na mbwembwe zake zote sasa hivi Kimyaaaaaa! kweli JPM amewakata pabaya Bavicha na CDM yao kama hawapoo! wamebaki wachochezi wachache mitandaoni.
Mungu jalia hata...
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.
Video hii hapa.
My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.
Unajua kuna mambo kama hukuyafanya utotoni au ujanani utayafanya uzeeni tu. Huyu sumaye hakuwa mtundu utotoni ngoja sasa kina mbowe wamfundishe utundu ukubwani, swali ni jeee? ataumudu mchezo wa utu uzimani?
Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu.
Tangazo lenyewe la mkutano huo hili hapa;
The Civic United Front-CUF
Chama cha Wananchi
Wilaya ya Tanga...
Anaandika Hilda Newton,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ataongoza jopo la mawakili la UKAWA, kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na Mwanachama wa zamani wa CUF Prof. Ibrahimu Lipumba kwa tuhuma za kukihujumu chama hicho.!
Maoni.
Tulishasema UKAWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.