Kuwa na Website ya Kivukoni ni muhimu na wala halina mjadala, lakujiuliza Watanzania tuko committed (tayari) na mambo hayo kwani tunayo Website ya Taifa lakini inatushinda kuiupdate kila siku unachoona ni abuse - habari zisizoendana na wakati.
Moto huanza na dalili za kuonekana kwa moshi. Vyama vya Siasa, kuweni waangalifu na kuendesha kampeni za kistaarabu. Hao wananchi wa Igunga wanahitaji maendeleo waliyoyakosa kwa muda miaka 50 iliopita na sio uhuni na fujo zenu.
Tukisherehekea miaka 50 ya marehemu Tanganyika, hivi ni kweli maendeleo duni ya TZ yamesababishwa na hawa watu watatu (CLR)? Hawa wameibuka hivi karibuni huko nyuma ilikuwa sababu nini au nani kasababisha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.