Recent content by kigoso

  1. kigoso

    UDSM Home of Intellectuals: Nilipokosa nafasi pale niliumia sana

    Ni busara kukubali ulichokisema kwa sababu ni sample yako uliyo kutana nayo...ila ni kosa kuamini kuwa level yao ni kawaida ... Nimesoma Udsm na nina heshimu vyuo vingine .... Na useme field of study yao..example Muhas wako mbele kidogo ya udsm kwenye medical field....ila usizungumzie field za...
  2. kigoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamani ya nini bob , hapa njaa tu mpaka mbwa ale majani .
  3. kigoso

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Cheo huja endapo umefanikiwa kuhitimu TMA salama . Ukifeli mitihan au ugonjwa na una degree yako au zaid utarudia intake nyingine . Ukifukuzwa Kwa kosa la kinidham imekula kwako . waziiii....Form 6 na diploma atapewa ya pili Baada ya mwaka , na bachelor na kuendelea baada ya miezi 6 . Nyota ya...
Back
Top Bottom