Recent content by kigoma1

  1. K

    Naomba ushauri wa dawa gani nzuri naweza kutumia kufanya Fumigation kwenye nyumba

    Habari za majukumu. Ninaishi sehemu kuna mbu wengi Sana, na malaria ni hatari. Ninatamani kufanyia farmigation nyumba nzima Kwa lengo la kuuwa mbu, mende, mijusi na wadudu wengineo. Naomba ushauri Kwa dawa gani nzuri nitumie itasaidia. Àhsanteni
  2. K

    Suzuki vitara inauzwa 4mil

    Hahaha sasa hivi ipo Barabarani Boss.
  3. K

    Suzuki vitara inauzwa 4mil

    Ninauza Suzuki Vitara , 3Door, FWD. Good condition. Imemilikiwa na mtu mmoja kabla yangu. Piga Simu 0715 601605 ipo Morogoro
  4. K

    Suzuki vitara inauzwa 4mil

    Ninauza Suzuki Vitara , 3Door, FWD. Good condition. Imemilikiwa na mtu mmoja kabla yangu. Piga Simu 0715 601605 ipo Morogoro
  5. K

    Tunauza vifaranga na mayai ya kuroiler

    TUNAUZA #VIFARANGA Na #MAYAI YA KUKU AINA YA #KUROILER. 1.Tunaunza Mayai kwa ajili ya kutotolesha ya kuku aina ya Kuroiler. Tray ni sh 18,000. 2.Tunauza Vifaranga wa Kuroiler @ 2500/= ( kwa Mwezi November tu, Vifaranga 100 utalipia sh 230,000/=) *Vifaranga Wote wanakua na chanjo ya Marek's...
  6. K

    #Mayai na Vifaranga wa #Kuroiler wanauzwa

    TUNAUZA #VIFARANGA Na #MAYAI YA KUKU AINA YA #KUROILER. 1.Tunaunza Mayai kwa ajili ya kutotolesha ya kuku aina ya Kuroiler. Tray ni sh 18,000. 2.Tunauza Vifaranga wa Kuroiler @ 2500/= ( kwa Mwezi November tu, Vifaranga 100 utalipia sh 230,000/=) *Vifaranga Wote wanakua na chanjo ya Marek's...
  7. K

    Ninauza Vifaranga wa Kuku aina ya Kuroiler.

    Kuroiler ni kuku wa kienyeji mwenyewe asili kutokea India. 1. Anakua kwa haraka 2. Ana anza kutaga akiwa na umri wa miezi 4 na nusu..... Na atataga kila siku kwa miaka 2 3. Ana ongeza uzito kwa haraka. Miezi 4 jogoo unaweza kuwa na kilo 5 wakati mitetea watakua na kila 3. 4. Ni kuku anaye...
  8. K

    Fuga kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler.

    Mayai tray ni sh 18,000
  9. K

    Nataka nifuge Kuroiler niwauze Chrismass

    Ninauza Mayai ya kuku aina ya Kuroiler , tray sh 18,000 Nauza Vifaranga wa Kuroiler sh 2500 ( wanakua wamepatiwa chanjo ya Marek's) Napatikana Morogoro . Waliopo mbali tunakutumia **piga 0715 601 605 Karibuni
  10. K

    Fuga kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler.

    Siuzi mitetea , majogoo machache nauza
  11. K

    Fuga kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler.

    Hapana , hawatamii wanataga tu
  12. K

    Fuga kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler.

    Nipo Morogoro
  13. K

    Fuga kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler.

    Je, unajua ni Kwanini #Kuroiler ndio kuku mwenye faida kuliko kuku mwingine yoyote . Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili. Ni mchanganyiko wa Jogoo wa broiler ( Kutoka Sasso). Hawa Sasso wanakuwa na umbo kubwa na kuongeza uzito (nyama). Akapandishwa Jike wa Rhodes Island Red huyu...
  14. K

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    ANZA KUFUGA KWA FAIDA SASA. PUNGUZA GHARAMA ZA CHAKULA CHA MIFUGO KWA 70%-50% KWA KULISHIA CHAKULA CHA HYDROPONICS. HYDROPONIC UGUNDUZI UNAOMUOKOA MFUGAJI: Hydroponic fodder Ni kizuri zaidi kwa sasa maana Ni nafuu kulinganisha na vyakula vingine Hydroponic fodder Ni uoteshaji wa mbegu pasipo...
  15. K

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mimi ninazo nutrients za kuzalishia hydroponics fodder. Lita 1 ni sh 30,000 Lita 2 nauza sh 50,000 Nipigie 0715 601 605
Back
Top Bottom