Recent content by kigogo056

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuzalisha mikate

    Habari wana JF, Mwenye ufahamu na Biashara ya mikate, msaada tafadhali.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi watatu wafariki kwenye Vurugu za 'Kamchape' Kigoma

    Serikali haimini uchawi iweje leo lambalamba(kamchape)waanze kusumbua watu wasio na hatia? Vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake hawo watu watimuliwe.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi watatu wafariki kwenye Vurugu za 'Kamchape' Kigoma

    Serikali haimini uchawi iweje leo lambalamba(kamchape)waanze kusumbua watu wasio na hatia? Vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake hawo watu watimuliwe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekwenda India na Mawaziri 9

    Cheo ni dhamana mkuu, hata ungelitadhwa wewe huenda ungelisafiri safari nyingi kuliko hizi unazoziona tumpe mda.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Gaddafi na Gamal Abdi Nassar

    Habari wana Jamii, Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.
Back
Top Bottom