Recent content by kigo akya

  1. kigo akya

    Natafuta mtu wa IT anaejua code vizuri anitengenezee online application

    Jaman natafuta mtu wa IT anaejua code vizuri anitengenezee online application,kma mtu yuko tayari anipe contact zake tuwasiliane
  2. kigo akya

    NAUZA MIFUKO/VIFUNGASHIO SIZE ZOTE KWA BEI RAHISI

    Bei Tsh 300/= kwa size zote
  3. kigo akya

    NAUZA MIFUKO/VIFUNGASHIO SIZE ZOTE KWA BEI RAHISI

    Nauza mifuko ya kuwekea vitu kwa bei rahisi Nauza size zote kwa bei moja ya jumla na rejareja Nicheki kupitia 0654403540
  4. kigo akya

    Gari inauzwa toyota vitz

    Tunapiga simu hupokei
  5. kigo akya

    Toyota starlet namba ( bns) inauzwa

    Ipo cash kabisa hakuna longolongo
  6. kigo akya

    Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

    Uhakika wa kupata chuo upo kwa vigezo vya sasa hivi but mwisho wa siku ukimaliza hiyo masters yako hiko cheti kitakuwa kama pambo tu maana ukitaka kuajiriwa kwa cheti cha master qualifications ya kwanza lazima uwe na GPA ya 3.8 kwa ngazi ya bachelor, hope hapo umenipata vzur
  7. kigo akya

    Tablet ya samsung galaxy 10.1 iko sokoni

    Yes mkuu nimeziona man
  8. kigo akya

    Tablet ya samsung galaxy 10.1 iko sokoni

    Hizo picha za samsung tablelet zimerushwa sehemu nyingine ya matangazo jamii forum kwa bei ya Tsh 170,000/=, Vipi ofisi ni moja au biashara huria
  9. kigo akya

    Natafuta mtu anaeuza pipi hizi za watoto jumla

    Upo mkoani gani na sehemu gani
  10. kigo akya

    Nauza saa aina zote kwa bei rahisi

    Yah zipo bei yake Tsh 8000/=
  11. kigo akya

    Nauza saa aina zote kwa bei rahisi

    Habari, Nauza saa aina zote za kike na za kiume kwa bei ya jumla na rejareja ni shilingi Tsh 5000/= tu mie napatikana Dar es Salaam kwa wale walio mkoani natuma mzigo popote nichek whatsap kwa namba 0654 403 540
Back
Top Bottom