Recent content by kigimbii

  1. kigimbii

    Wasichana msimuige binti huyu

    Duu this truly is a small world. Hapana chezea ule mlima.
  2. kigimbii

    Nisamehe MWALIMU sirudii tena

    Eeh bwanaee nilisha pigwa fimbo nyingi sana yani mpka na A level pia.unachapwa fimbo mpka unasikia kitcha kinataka kupanda.
  3. kigimbii

    naomba munipokee wana JF

    Mkuu ninunuliwe na nani?
  4. kigimbii

    naomba munipokee wana JF

    Ahsanteni wenyeji wa Jf.nashukuru mmchukua mudaa wenu kunikaribisha.
  5. kigimbii

    naomba munipokee wana JF

    habari wana JF nawaombeni munikaribishe kwa moyo wa upendo kabisa.nimeamua kujiunga humu baada yakuumwa mudaa mrefu na kktka kipindi changu kikugumu Jamii Forum ilikua ni sehemu yangu kujifariji na topic mbali mbali pamoja na comments zenu.Ahsante
Back
Top Bottom