Recent content by Kighane

  1. K

    Bwana harusi amfumania mkewe live miezi 3 tu baada ya ndoa

    Aisee inakatisha tamaa sana ukiona kitu kama hiki coz unahisi hata wewe chaweza kukuta. Yan lei mtu anaagana na ex wake kwa kugegedana halafu kesho anaenda honey moon na mtu mwingne! Mbaya sana sana
  2. K

    CCM yamvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid

    Nimecheka sana eti walivuliwa wakavalishwa lol!
  3. K

    CCM yamvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid

    Nimecheka sana eti walivuliwa wakavalishwa lol!
  4. K

    Hataki kuni expose kwenye social medias and network

    Hapo huna chako. Stuka! Jikatae mapema kabla hujakataliwa laivu!
  5. K

    Anadai ananipenda nimpe muda Aachane. Na wazamani ila hajamucha mpaka leo

    Dada umekaa unasubiri mwenzio aachwe ili uingie wewe! Kama ana guts za kumuacha huyo na ww pia jiandae kuja kuachwa kwa style ile ile aliyoachwa mwenzio! Men are tricky! Anafanya hivyo so that he can get u, akikupata kwisha habari yako na mwenzako hatoachwa! My take Mwanamume anaekutamkia...
  6. K

    Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

    Sipendi kusababisha vikwazo kwenye ndoa ya mtu and I always wish them a happy marriage. Sitaki niwe chanzo cha migogoro kwenye ndoa yao,kama wana matatzo ni ya kwao na wala yasitokane na mimi. Japokuwa mwanamume analalamika kuwa hana amani huwa namwambia huyo ndo mna agano la milele,ni msalaba...
  7. K

    Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

    Mimi nna mtoto namlea mwenyewe na mwanamume niliyezaa nae ana mke mwingne. Huwa sipewi matumizi ya mwezi isipokuwa huyu mwanamume analipa ada tu na huwa sina mawasiliano nae ya kihivyo zaidi ya kumweleza tu wakati wa kulipa ada ukifika. Huwa anakuja nyumbani kumchukua mwanae na kwenda nae huko...
  8. K

    Watoto wa Kagame

    Nimecheka sana aisee...!
  9. K

    mtabiri wa TAIFA , chanzo cha madhila haya.

    Hahaha Remote u made my day!
  10. K

    mtabiri wa TAIFA , chanzo cha madhila haya.

    Hahaha Remote u made my day....!
  11. K

    Wanaume na Style Mpya ya Kibuti cha Kufunga Vioo/Kula cobis/Kuchuna!!!!!!!!!!

    Namba yangu unayo lol! Tukutane uwanja wa nyumbani kulekule watsup! Hehehe....!
  12. K

    Wanaume na Style Mpya ya Kibuti cha Kufunga Vioo/Kula cobis/Kuchuna!!!!!!!!!!

    Du! Sikujua kama huwa tunapumzishwa! Poor us. Lakn na sie tukiwatafutia vidumu msilalamike
  13. K

    Wanaume na Style Mpya ya Kibuti cha Kufunga Vioo/Kula cobis/Kuchuna!!!!!!!!!!

    Sie tunakutaka wewe tu Mapi! Chondechonde usitutose wenzio
  14. K

    nani walikuwa ma partners wenu?

    Lazalaza enzi za mama Mkuyua miaka ya tisini ile! Tukija mzumbe disco tunapanda mgari wetu ule mlori mkubwa wenyewe tulikuwa tunauita 'mchuma'. Halafu kama disco linafanyika Kilakala mkija mlikuwa mnakaa pale chini ya mkungu karibu na rosary hall siku hz panaitwa nyerere hall! Enzi hzo...
  15. K

    nani walikuwa ma partners wenu?

    Lazalaza magesti ya Kilakala ilikuwa noma! Siku ikifika mtu unakaa standby unamsubiri patner wako from Mzumbe aje kukusalimu! Siku hyo no kusoma mawazo yote kwa 'mzumbe boy'
Back
Top Bottom