Recent content by KIFOROKOKWINYO

  1. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mimi nahitaji kwa uibadilisha sera ya ttcl iendane wakati tulionao sasa
  2. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mimi binafsi nilipenda kuonana na mh rais ana nimweleze yangu yanayonisibu
  3. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Naungana nawe mh gwajima ni waziri wa wananchi mama huyu mungu ampe maisha marefu anafatilia sana hata mafsa wa ustawi wa jamii wa mkoa wanajua anapopata tatizo la mwanachi anawagiza kufatilia na kumpa report
  4. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Ni kweli aisee mh gwajima atakusaidia ni mfatiliaji sana
  5. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Hata yakitolewa hakuna kinachofanyiwa Kuna haja Gani kutoa maon?
  6. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi wako alikutelekeza wakati wa malezi na makuzi ana stahili zipi kutoka kwako?

    Wakati mwingine huwa dharau za mama wa mtoto.unaweza kuwa unatoa matuzimizi vizuri ila haitaji kushirikisha kwa lolote anahitaji kwako ni pesa tu
  7. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ushauri kwa mkurugezi wa TTCL Mkurugezi badili sera inaindesha ttcl iendane na wakati wa sasa wa kibiashara sera inatumoka ilishapitwa na wakati ili shirika liweze kukua
  8. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Natafata mume, mwenye sifa hizi

    Ah ! Hongera ujasi.. mkubwa NAMI pia nicheck kwa mawazo zaid
  9. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Na kheriiiii !!!!!
  10. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa RC Paul Makonda

    Hatuwezi shangaa Sana hata manabii.za hizo walipingwa Sana na wasiopenda haki Wala hatuwezi shangaa
  11. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    HATA TRA KATAVI WANZINGUA SANA WAFANYA BiASHARA WALIPA KODI HATAKIWI KUTUMA WAWAKILISHI MLIPA HUSIKA AkIWA NA DHARUA KUWAKADILIA WALIPA KODI KUBWA KWENYE VAT KUHAMISHA FEDHA KWENYE ACCOUNT ZA WAFANYABISHARA BILA MFANYABISHA KUHUSISHWA.ASILIMIA KUBWA MAAFSA WA TRA KATAVI WANAVIMBA SANA KWA...
  12. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

    Kwa afande agp. Awali ya kwanza ni kumshukuru mwenyemungu muweza wa yote Dhumuni, andiko langu ni kuomba kwa unyenyekevu mkubwa kuomba kuongeza utumaji maombi kwa vijana wetu wanaotaka kujiunga na jeshi la polisi baada, mtandao polisi utumaji maombi kufeli kupokea maombi ya waombaji wa nafasi...
  13. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Kukadiria Kodi ni jambo Moja na linahitaji Customer Care lakini Kukusanya Kodi ni jambo lingine kabisa linalohitaji Task force!

    Tra katavi achen majivuno na uonevu kwa walipa Kodi na hasa huyu afisa anayeitwa idd amekuwa akionea Sana walipa Kodi vitisho na ubabe hata ukiagiza mtu pale ili ukadiliwe wao wanakataa hata Kama mtu Yuko safari
  14. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Makonda atakuja kuwa karibu mkuu siku si nyingi
  15. KIFOROKOKWINYO

    JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Unachouliza hakina mashiko na ubinafsi wako
Back
Top Bottom