Recent content by Kifaranga

  1. Kifaranga

    Nini maana neno Achuz

    Asante sana mkuu ubarikiwe
  2. Kifaranga

    Nini maana neno Achuz

    Ha ha mshkaji wangu bhana wa kiume kama mm
  3. Kifaranga

    Nini maana neno Achuz

    Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani.
  4. Kifaranga

    True copy of original

    Kwa nini sasa nikamatwe?
  5. Kifaranga

    True copy of original

    Wadau nina document (kadi ya gari) nataka niicertify copy yake kama true copy of original. Nilitaka kujua naweza kufanya hivyo pia mahakamani au? Ninatakiwa niende na vitu gani ili kukamilisha hilo zoezi, kwa haraka haraka najua lazima uende na stamp duties kutika TRA na charge yake ni 5,000/=...
  6. Kifaranga

    Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

    Naona post ya 2017 .. lakini pia mwaka huu 2020 leo kama wiki ya nne sijamsikia redioni Fredwaa. Ameenda wapi?
  7. Kifaranga

    Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    Inauma sana aisee kuwa blocked whatsapppp daaah
  8. Kifaranga

    Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    Yaani wewe utafungiwa hivi karibuni, upo kwenye foleni. Whatsapp official hawataki mtu yeyote atumie unofficial whatsapp (whatsapp+, GBWhatsapp, YoWhatsapp etc etc)
  9. Kifaranga

    Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    Duh pole mkuu, wameshakufungulia au bado??
  10. Kifaranga

    Kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA

    Ahaaaa okay hapo nimekusoma mkuu
  11. Kifaranga

    Kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA

    Nashukuru kwa elimu ngoja nisikilizie na wadau wengine
  12. Kifaranga

    Kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA

    Wakuu nafikiri mko pouwa, Sijui kama nitakuwa nimeweka kwenye jukwaa sahihi kama sivyo mods watanisaidia kupeleka kwenye jukwaa sahihi. Ishu yangu ni jinsi ya kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA kutoka kwenye mabomba yao kuja kwenye nyumba yangu. Jee nikiweka tanki (simtank) langu juu (nina...
  13. Kifaranga

    Mtoto wa mwaka na nusu hatembei

    Hapana huyu ni wa hali ya chini kabisaa kabisaa ni maskini kabisa, baba yake ana vibarua vya hapa na pale tu vya kumuingizia kipato, yaani hayupo kwenye ajira rasmi.
  14. Kifaranga

    Mtoto wa mwaka na nusu hatembei

    Pia jamaa ananiambia kipindi cha nyuma alishawahi kuugua ugonjwa wa Manjano nadhani ndio imeleta shida zote hizi.
Back
Top Bottom