Nilishapigwa mwiba crdb shekilango pale asee na mdada mrembo sikuamini...yaan ukiona umetoa milion milioni taslimu na kuna nyingine pungufu asee hesabu..ni mamasta mno
Miaka fulani iringa mjini ulitokea msiba wa aliewahi kuwa mmiliki wa mabus ya comfort video coach watu walikuwa wakiingia msibani kwa kadi,huna kadi huruhusiwi
OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na polisi, yeye ni kama mungu mtu pale, sijui ni kwann Mahakama inaweza ikatoa tamko kuwa mtu hana hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.