Recent content by kidungura

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fikisheni ujumbe huu kwa rais ili kusawazisha haya mambo haraka Tusonge Kwa Amani

    Eti serikali inayoongozwa na mcha Mungu!! Mungu ninayemwabudu mimi au mwingine?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Kwikwikwikwi
  3. K

    JamiiForums Tanzania CUF yaipa Talaka UKAWA... Sasa Kushiriki uchaguzi wa madiwani kivyake

    Tusubiri tutaona fedheha atakayoipata! Ataumbuka saana! Nakuunga mkono
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Juliana Shonza aula, Maghembe out..

    Nasikitika tu Mkuu alituahidi kuwa atapunguza ukubwa wa baraza la mawaziri wakati wa kampeni za 2015. Na sasa ameamua kabisa kuliongeza na kuwa na wizara 21, mawaziri 21 na manaibu vilevile!!!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Heshima yako haitaondoa au kupunguza hadhi ya kanisa!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Hahahaaaa! Napita tuuuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu

    Nakuunga mkoni
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu

    Hongera kwa maelezo mazuri! Bila shaka huyo aliyeuliza swali atakuwa amepata Mwanga! Nasi pia tumepata kitu!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli muondoe RC Mrisho Gambo Arusha kuijengea heshima serikali yako

    Ameshatumbuliwa huyo jamaa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Ni kweli hakuna mtu anayepinga kuwa hayo sio matatizo LA hasha ila je ni priority? Yapo matatizo mengi na makubwa ambayo yanahitaji utatuzi kwa haraka, hayo mengine yatafuata
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vuai Nahodha: Serikali ya Muungano na Serikali ya Zanzibar zapaswa kugawana mapato

    Afadhali aliyesema hao ni Mwana ccm tena aliyewahi kushika nyadhifa kibao serikalini! Angesema mbunge toka upinzani wangesema wapinzani wanaleta chokochoko
  12. K

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hivi hili tamasha au! Muziki tuuuuuuuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

    Kati ya magazeti ambayo sina muda nayo ni habari Leo na Uhuru! Hawaandiki cha maana! Yanafaa kufutia vioo vya magari na kufungia vitumbua
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni TBC2 na TBC international please!

    TBC haina kitu! Uozo mtupu! Mimi sina muda nalo kabiaaa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

    Hahahaha! Huyu mama mpuuzi kweli
Back
Top Bottom