Recent content by kidumba

  1. K

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Hiyo hela mkuu ukienda nayo china ukanunua bidha ndani ya miezi miwili unapata hiyohiyo 46m so mtaji wako unazaa faida ya 46m njoo dm
  2. K

    DAWASA: Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24

    DAWASA TUNAOMBA MAJIBU SIKU YA TATU LEO MAJI HAYATOKI KIMARA MWISHO MAENEO YA AGHA KHAN KUSHUKA MAVURUNZA SHIDA NINI?HIVI HII NCHI KILA KITU MGAO KWELI TUTAWEZA?CCM MNA SIKU CHACHE SANA ZA KURINGA TUTAKUTANA TU KWENYE KURA MAANA NDOMMETUFIKISHA HAPA UMEME MGAO MAJI MGAO SUKARI FOLENI HAYA
  3. K

    Dawasa tangu aondoke Eng. Luhemeja tunakoma

    Hii mamlaka ya maji Dar na Pwani tangu aondoke Eng Luhemeja imekuwa kero tupu. Mgawo wa maji kila mara pamoja na kwamba mvua zinanyesha kila siku wiki moja. Sasa wakazi wa Kimara hatuna maji na bila hata taarifa kama kuna shida au mgawo.
  4. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Kipo namba hizo hapo
  5. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
  6. K

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    NJIA YA KWENDA BONYOKWA MAARUUFU KWA MZEE MAJI WAMEKATA MABOMBA HATUPATI MAJI NA KAJIUNGANISHIA MAJI KUTOKA KWENYE MAMBOMBA YETU ANATUMIA MAJI KUJENGEA BILA KULIPIA,NI KABLA YA DARAJA LA KWENDA BONYOKWA TUNAOMBA MFUATILIE TUPATE MAJI
  7. K

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    NAOMBA KUJUA KAMA KUNA MGAO WA MAJI KIMARA NJIA YA KWENDA BONYOKWA SIKU YA NNE LEO HATUNA MAJI,TUMEPIGA SIMU KIMARA WANASEMA HAWAJUI NINI TATIZO
  8. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    MUHESHIMIWA MAKAMBA PAMOJA NA KUVUNJA BODI NA KUWEKA BODI MPYA BADO UTENDAJI WA TANESCO NI KIZUNGU MKUTI,TANESCO MKOA WA LINDI SUALA LA KUKATA UMEME KIJIJI CHA KILANJELANJE NI LA KAWAIDA NA TUMESHAZOEA HAKUNA SIKU UMEME UMEWAKA 24HRS BILA KUKATIKA SIJUI TATIZO NINI HAPA LEO UMEME TANGU JANA...
  9. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO MKOA WA LINDI KUKATIKA KWA UMEME KIJIJI CHA KILANJELANJE KUTAISHA LINI MAANA MNAKATA MNAVYOJISIKIA LEO SIKU YA PILI HATUNA UMEME HAPA MAMA KABADILISHA UONGOZI TUKAJUA MTAJIREKWBISHA NAONA MAZOEA YEAMEGEUKA KUWA TABIA IMEKUWA NI KAWAIDA KUKOSQ UMEME HAPA SIKU MBILI TATU
  10. K

    BRELA imerudi ilikotoka kwa kutoa huduma mbovu

    BRELA mmerudi kulekule enzi za Mwalimu za huduma mbovu. Kipindi Rais Magufuli hajafariki ilikuwa huwezi kukaa zaidi ya siku tatu baada ya kufile application yoyote bila kufanyiwa kazi na namba ya bosi ilikuwa kwenye website yao kwa sasa hadi mwezi watu hawajitingishi. Kuna umuhimu mkubwa wa...
  11. K

    Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

    weka mawasiliano yako
Back
Top Bottom