Jayson Tatum muda sio mrefu Dunia itamtambua huyu Bwana Mdogo wa Celtics. Dodgo ana 21 na alikuwa wa tatu kwenye draft ya msimu wa 2017/2018 lkn anavyowasumbua kina JR Smith na Tristan ni shida, mimi namtabiria makubwa sana dogo huenda akafika level za kina Carl Marone, Bill Russell, Michael...