Recent content by kidomo

  1. kidomo

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Unaweza jenga kaka achana na mabilionea wa humu nakuhakikishia ukiwa unafatilia vitu hiyo ya vyumba viwili na hiyo mil 7 yako unafika mbali let say. Tofauli zinazohitajika ni 2000@1000=2,000,000 Fundi 600,000 Cement 16,500 Mchanga inategemea ila sehemu nyingi kama vikindu unatolea hapo haoo...
  2. kidomo

    Wazawa wa Dar es Salaam ni wajanja wa mjini kuliko wa mikoani

    Mashoga sio point hata mkoani kwenu wapo na hata vibaka pia alaf ukitok kijijin kuj mjin una uhakika wa kuish tofauti na kijijin broo.
  3. kidomo

    Kumetokea ajali iliyohusisha Fuso na Noah maeneo ya Ihumwa Dodoma

    Acha kabisa familia nzima ipo humo
  4. kidomo

    Kumetokea ajali iliyohusisha Fuso na Noah maeneo ya Ihumwa Dodoma

    Unakwata na watu wa sodoma na gomora
  5. kidomo

    Kumetokea ajali iliyohusisha Fuso na Noah maeneo ya Ihumwa Dodoma

    Hiyo noah namba gani basi hata rangi nna ndugu zangu wapo njian na noah na wametoka usiku. Nawapigia hawapatikani
  6. kidomo

    Anayetakiwa kupongezwa kwa makusanyo makubwa ya kodi ni Wafanyabiashara au TRA?

    watupongeze walipa kodi watuwekee hata soda ofisini kwao. nasema itapendeza sana
  7. kidomo

    Napendekeza bidhaa zipigwe kodi mara moja tu, njia ni hii

    value added tax kwa kimombo aina hii ya tax inaingia katika kundi la indirect tax nikisema indirect tax namaanisha mlipaji haumii kulipa kodi kwani kodi inakuwa tayari ndani ya bei ya bidhaa,na sifa moja wapo ya V.A.T inaelipa ni mtumiaji wa mwisho mfano ukinunua vocha ya Tsh 500 ukajiunga...
  8. kidomo

    Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    alafu ufe lini mizimu unyonye damu?
  9. kidomo

    Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

    kuna nyingine inaitwa kuku wa kienyeji jitafutie hatari na nusu hii cha msingi ni kukomaa tu mungu ni wetu wote
  10. kidomo

    Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

    Tabia ya mtanzania ni kupenda kuabudiwa na sifa kibao kwenye ukoo kwamba katoboa peke yake, sasa akusaidie wewe ili uanze kusifiwa kama wewe acha hizo brother.
  11. kidomo

    DOKEZO Kuna siku pale Kivukoni yatatokea maafa, msikimbilie kuunda tume

    watu wa kigamboni wanapendwa sana wamejengewa daraja zuri la mwl nyerere ukipita dizain kama upo mambele tena mnataka na vivuko vipya. mnadeka nyinyi kama malast born😂😂😂
  12. kidomo

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu samahani hivi kwenye intake yenu watu wasiopitia Jkt waliitwa?
  13. kidomo

    Wakuu sio jambo baya tukipeana updates kuhusu huyu mhalifu

    Inavuma mwanzo ila tunawahi kuchok
Back
Top Bottom