Wakuu sio jambo baya tukipeana updates kuhusu huyu mhalifu

Nilijiuliza inakuwaje mkulu ndio amkamate mtuhumiwa badala ya polis na mamraka husika kiki ujinga zile hata jina hakutajwa
 
Hivi nyie....mliona wapi mwenye pesa nchi za kiafrika akakamatwa ? Najua mtasema singa na kundi lake. Hawa kuna kauli chafu za kihaya na za kihindi walitoa
 
Back
Top Bottom