Wanabodi-
Naomba niandike machache na msingi sana juu ya wilaya ya Mwanga kisiasa na hali inayiendelea kwasasa kwenye Ukawa.
Kumezuka katabia kabaadhi ya vyama vilivyomo kwenye Ukawa kuanza kudandia majimbo ambayo hawajawahi kufanya kazi za kisiasa zozote zile. Kwasasa hapa Mwanga Nccr nao...
Tuwe wa kweli kabisa leo ccm inalia pale mwanga kwa juhudi za chadema chini ya kileo kutaka kuwakomboa wanamwanga. Hakuna wa kumzuia kileo licha ya hila ambazo zimeanzwa kutengenezwa juu yake.
Kwasasa hela inatembea mwanga mbaya kuwagawa viongozi wa cdm ili ccm ipone, kwaninavyo mjua kileo ccm...
Maghembe akitoka lazima asalimie chadema, kazi ya kileo na makamanda wake ilikuwa siyo shughuli ya kitoto.
Kuishinda ccm pale upareni ni kazi isiyohitaji kubezwa.
Acha umbea Dada utasutwa,ukweli unaujua ila nasikia umeahidiwa na wewe simu zikiporwa utapewa dili ya kwenda kuuza pale Kinondoni manyanya au pale brazil.
Nchi yangu, viongozi wasiyojua vipaumbele.. Unatukana unapewa cheo tena kutoka kwa mtu aliyepewa dhamani ya kuendesha taifa? Mwezi wa kumi ufike tuondokane na hii dhambi.
Jamaa amalize tu muda wake maana tutashuhudia mengi sana,huyu jamaa sijui nani anamshauri na ushauri anaopewa sijui kama kweli anachanganya na zake ama.
Labda kama makamanda wa kweli waliyojenga hilo jimbo wawe wamekufa, siyo nyie malaika mnaodondoka siku za mwisho, Mwanga hatufanyi kura za maoni kama mlitegemea kuja kununua wajumbe imekula kwenu mpaka sasa tunamjua kama mmoja tu.
Anayepiga kazi usiku na mchana kwa vitendo siyo nyie wapiga...
Wakuu,
Tarehe 07.01.2015 kutakuwa na mikutano mikubwa ya Chadema kwenye wilaya ya Mwanga kwakuanzia kata ya Kirya kwenye vijiji vya Kiti cha mungu, Njia panda na Kirya ambapo kwenye kata hiyo ccm ni chama pinzani kuanzia vijiji mpaka vitongoji...
Kisha ngujini kwa aliyekuwa mjumbe wa tume ya...
Wakuu,
Yule diwani wa CCM hapa Mwanga kwenye kata ya Shighatini muda huu yupo chini ya ulinzi mkali wa polisi akishikiliwa kwa kutoa rushwa.
Diwani huyo amekamatwa jioni ya leo baada ya yeye kuingia kichwa kichwa kwenye mtengo uliyokuwa umetegwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.