Recent content by Kidibwe

  1. K

    Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Kuwasikiliza ushauri wa polisi ni upuuzi mtupu watu wenyewe hata school hawajaenda wengi wao ni mbumbumbu wanapelekeshwa puta na wanasiasa kama minyumbu.
  2. K

    Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

    Wa kumuonea huruma ni mama yako kwa kukuleta duniani bila sababu za msingi na kuchezea hewa ya Oxygen..Kuandamana ni haki ya kila raia ingawa siungi mkono hoja zao za maandamano.
  3. K

    Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

    Zitto ni mwanasisa Lissu ni mwanaharakati Zitto anafata upepo wa siasa Lissu anafata Mihemko ya siasa Zitto analow IQ Lissu anahigh IQ Zitto anafikiria kabla ya kuongea Lissu anatabia ya kuropoka wote wawili ni opportunistic, wote wawili ni vinyonga, wote wawili ni vibaraka,wote wanatabia ya...
  4. K

    Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

    Hebu punguza uongo kidogo Benjamin Mkapa aliwanyoosha kanisa Katoliki mpaka wenyewe waliomba po ingawa yeye mwenyewe mkatoliki hebu muulize vizuri Pengo awamu ya pili ya utawala wa Ben ilikuwaje? chamoto alikiona na ndio Raisi pekee aliyekuwa anabalance teuzi zake kati ya waislam na wakristo btn...
  5. K

    Zitto ni mnafiki katika siasa, ni kuwa naye makini. Anasema bandari haijauzwa. Je, nyumba ikiuzwa inahamishwa?

    Zitto wazo lake umiliki uwe 50/50, mengine ni porojo to be honest i think ni best solution (si mfuasi wa Zitto wala Act).
  6. K

    Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

    METL amenunua mashamba na viwanda vya serikali kwa ajili ya kuombea mikopo kama collateral si kwa ajili ya kulima wala kufanya biashara Muddy na baba yake ni matapeli na wala hawana mpango wa kulipa hayo madeni.
  7. K

    Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Swali la msingi ilifata nini huko???kipindi hiki tunakesi kibao za madai kwenye nchi za jumuiya ya ulaya na Marekani,
  8. K

    Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    Jitahidi kuficha ujinga wako kwenye mambo ya msingi umetoa MAELEZO badala ya kujibu HOJA za mtoa mada.
  9. K

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Wewe utakuwa si mzima sipo upande wa serikali wala wamasai ila kila mtu anajua serikali ya Kenya ipo vitani na serikali ya Tanzania kwenye biashara ya utalii.Kosa kubwa la serikali ya Samia walitakiwa watoe elimu kubwa kwa wamasai kwanini wanawahamisha pia wangetumia njia za kistaaarabu...
  10. K

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Uchukue pesa yangu ndefu uchukue na madini yangu juu kizembezembe tu wakati nimevitolea jasho hata mimi nakutoa roho,Hamza ni shujaa na kaonyesha msimamo kwenye jamii kila mtu anajua polisi wengi hawaridhiki na mishahara yao ni wezi.
  11. K

    Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

    Mkimaliza kubishana mjue tupo tunaopenda muungano uvunjike na Zanzibar ipate uhuru wake kamili.
  12. K

    Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Ili siasa za Zanzibar zikae balance lazima mrithi wa Seifu atokee Pemba kwasababu wanachama na wafadhili wote wa ACT Wazalendo wanatokea Pemba, uongozi wa juu wote wa chama unatokea Unguja lakini chama pia lazima kiangalie uchaguzi wa 2025 kwa jicho la pili mtu pekee wa kupambana na Hussein ni...
  13. K

    Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

    Lazima ujue jukumu la TCRA ni lipi na jukumu la wizara ya habari ni lipi?Then utajua nani soon atavuliwa nguo sipo upande wa WASAFI wala serikali.
  14. K

    Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

    Kwa hali ya uchumi kwasasa ilivyo ni ngumu kwa serikali Kukusanya 2trillion kwa mwezi december ni uongo mtupu Zitto yupo sahihi kuhoji.
  15. K

    Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kila siku watu wanaambiwa usitembee na mtu unafanya nae kazi nae kazi ofisi moja hawasikii Mbowe hawa wadada karibia wote kawabandua hawezi kufanya chochote.
Back
Top Bottom