Recent content by kidesheni

  1. K

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    MAZOEA HAYAWEZI KUONDOA UMASKINI WETU: UTENDAJI MPYA UNAHITAJIKA: Tusisahau kwamba kati ya 1939 na 1961, Uchumi na maisha ya Watanzania yalikuwa yanafanana ya watu wa India, China na Brazil. Ona MAAJABU haya: Nchi 5 zenye utajiri mkubwa Duniani ifikapo Mwaka 2030 ni: (1) China GDP ya US$...
  2. K

    Prof Muhongo: umasikini wetu utatokomezwa na njia zifuatazo

    UMASKINI WETU UTATOWEKA KWA VITENDO: Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Viwanda vya kisasa na Ukuaji wa Uchumi wa kisasa maana yake ni matumizi makubwa ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Mwaka 2020, Nchi 5 zenye utajiri mkubwa Duniani: (1) China GDP ya US$ Trilioni 24.6, (2) USA: Trilioni 23.3, (3) India...
  3. K

    Mpaka sasa sijaona mpinzania wa Prof. Muhongo

    Bila kupepesa macho, kama nchi tunaitaji rais mchapaka Kazi kwa kuanzia yeye mwenyewe uwezo wake bila kutegemea hotuba za kuandaliwa na kuzisoma kama zilivyo, Prof. Muhongo anatosha kuwa Raisi wetu kwa kipindi hiki akipewa nafasi.
  4. K

    Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

    Kwenye mabano ni namba za kuanzia mwanzo hadi kufikia mikoa 12 aliyopitia, mkoa ni mkubwa sehemu zingine alipita kwenye Wilaya au miji ndani ya mkoa husika.
  5. K

    Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

    UDHAMINI WA PROF MUHONGO: Tulianza kazi tarehe 05 Juni (Dodoma) na hadi leo tarehe 14 Juni (Tunduru) tumekamilisha Mikoa 12: (12) Ruvuma Tunduru, (11) Mtwara, (10) Pemba, Mkoa wa Kusini (9) Unguja, Kaskazini A (8) Unguja, Mjini (7) Dar Es Salaam, Temeke (6) Tanga (5) Arusha (4) Mwanza...
  6. K

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Hapo umesema kweli Mzee, Prof. Muhongo yupo vizuri sana kwa uchapakazi.
  7. K

    CCM amueni kati ya hawa wawili

    Tunatakiwa kuwa makini zaidi, tunapotoa maoni yetu kuhusu Raisi ajaye kwa weledi, umakini, uwezo wake wa kifikra na maono yake ya baadae. Bila jaziba na siasa chafu za kuchafuana bila ushahidi wala fact zozote! Prof. Muhongo anafaa zaidi kwa uwezo wake alioonyesha kwa muda wa miaka miwili na...
  8. K

    Uongozi wa Kimataifa Prof. Muhongo awapigania

    Kweli mkuu kwa kasi ya maendeleo ya sasa Duniani tunahiji Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye uwezo mkubwa kimaarifa, kifikra, mzalendo, mwaminifu, mchapakazi na mbunifu. Prof. Muhongo uwezo huo anao kwa asilimia 100. Atafaa sana kuwa Raisi 2015-2025
  9. K

    Uongozi wa Kimataifa Prof. Muhongo awapigania

    PROF MUHONGO AWAPIGANIA WATANZANIA KUPATA UONGOZI WA JUU KABISA WA KIMATAIFA: Injinia J. Joseph ameanza kazi ya Mkurugenzi Mkuu (MD) wa Rusumo Power Co Ltd, Kigali. Huu ni mradi wa umeme wa Tanzania, Rwanda na Burundi. Awali Tanzania ilitupwa nje lakini Prof Muhongo akahakikisha tunashinda...
  10. K

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Hakika Prof. Anafaa zaidi kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2025
  11. K

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Kisomo nimesoma mpaka mwisho wa kusoma, kama ni taaluma nimefika mwisho. Kama naweza kutunza kadi ya CCM toka mwaka 77 hadi sasa basi mimi ndio naweza kutunza raslimali zenu. Africa ina nchi 54, mimi nimeenda 52 Nataka tule mihogo na viazi kwa hamu, sio kwa shida. Mwenye dawa ya...
  12. K

    Kuisaidia nchi yetu

    "Kama tunataka kuisaidia nchi yetu hatutazungumza majina ya watu sasa hivi. Tutazungumza masuala yanayokabili taifa letu kwanza" (Hayati Mwalimu J.K.Nyerere) "Nataka kanuni za uchaguzi na maadili ziheshimiwe ili kupata viongozi ambao hawatatokana na rushwa" (Ndugu Philip Mangula, 2014)...
  13. K

    Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

    TANZANIA IJAYO - Uchumi Imara na Kujitegemea. Malengo ya Milenia (2000-2015, MDGs) yatafikia tamati Sept 2015. Umoja wa Mataifa (UN) unatayarisha miradi mipya, "Sustainable Development Goals (SDGs, 2015-2030). Tanzania iliwakilisha Afrika (2012-2014) na kuhakikisha upatikanaji wa nishati kwa...
  14. K

    Muhongo: upungufu mkubwa wa maji ifikapo 2030

    TANZANIA IJAYO-KUJITAYARISHA KUKABILIANA NA UPUNGUFU MKUBWA WA MAJI IFIKAPO 2030. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zitakumbwa na UPUNGUFU mkubwa wa maji ifikapo 2030 (water scarcity=annual water supplies drop below 1,000 cu.m. per person). Ripoti ya World Water Assessment Program (WWAP) ya March...
  15. K

    Muhongo: Kila wakazi 10,000

    TANZANIA IJAYO - AFYA IMARA NA UCHUMI IMARA: Takwimu za WHO za 2013 zinaonyesha idadi ya madaktari kwa kila wakazi 10,000 (no of physicians per 10,000 population) kati ya Mwaka 2005 na 2012 kama ifuatavyo: (1) Cuba: 67.2 per 10,000 population, (2) Brazil: 17.6, (3) China: 14.6, (4) India: 6.5...
Back
Top Bottom