Recent content by Kidedya

  1. Kidedya

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Ukishagusa hapo CREATE AN ACCOUNT itakuletea hii sehemu ya kujisajili
  2. Kidedya

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Hapo ukigusa hiyo REGISTER,, Itakuletea picha na sehemu nyingine ina hiyo SIGN IN. Sasa wewe angalia kwenye hiyo picha chini yake kuna CREATE AN ACCOUNT. Gusa hapo na endelea na mchakato wa kujisajili
  3. Kidedya

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Angalia hapa, kuna create acount,, ukigusa hapo inakuletea mahali pa kujisajili
  4. Kidedya

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Sehemu ya kuregista ipo kwenye picha chini... Picha hiyo kwa china kuna CREATE ACCOUNT .. Ukigusa hapo, inakuletea uwanja wa kufungua akaunt Angali picha hapa chini natuma, mahali nimezungushia duara
  5. Kidedya

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Pia unaweza ukaingia google moja kwa moja na ukaandika.. MOOC Tanzania. Itafunguka, na utacreate account hapo. Binafsi nimejaribu hivo.. Kwa maelezo zaidi, tusubirie wajuvi waje watuelekeze zaidi
  6. Kidedya

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Hatua ni 1. Fungua website yao. eacope.com 2. Ikishafunguka,, Juu kwenye mstari wa bluu gusa mahali wameandika SUSTAINABLE DEVELOOMENT. Ukigusa hapo watakuletea orodha.. lwenye hiyo orodha gusa MOOC Tanzania. 3. Mooc tanzania itafunguka,, ikishafungua kwenye picha chini hapo kuna mhali...
  7. Kidedya

    Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Tuanze mapambano mengine. Msaada kwa anayefahamu kampuni ambayo inasimamia ujenzi wa SGR LOT 6 kwa niaba ya TRC anisaidie jina nikatupie maombi
  8. Kidedya

    Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Mkeka ndo huooooo, kwa waliobahatika kwenda mchujo wa oral hongereni na kila lakheri.
  9. Kidedya

    Mwigulu na TRC, kuhusu mkandarasi CCECC, tuzungumze kizalendo kidogo!

    Wakuu sgr lot 6 ni kampuni ipi inamiwakilisha TRC kisimamia ujenzi.
  10. Kidedya

    Rais Samia: Wakati nakabidhiwa nchi, Bwawa la Nyerere na SGR viliniumiza kichwa

    Wakuu hii SGR LOT 6 ni kampuni gani inayosimamia ujenzi kwa niaba ya TRC yaani consultant engineer, naomba kufahamu nikatafte kibarua cha maadara ya udongo
  11. Kidedya

    Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Kuna yeyote anafahamu scale za mishahara yao
  12. Kidedya

    Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Bonge la fursa aisee Sjui scale za mishahara yao huwa zipoje
  13. Kidedya

    Prof. Mbarawa aweka jiwe la msingi mradi wa SGR Makutupora - Tabora

    Katika kipande hiki, mfumo wa upatikanaji wa ajira upoje..
  14. Kidedya

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Hahahah,,noted
Back
Top Bottom