Recent content by kiddo

  1. K

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Mazingira, Wewe ndio umedanganya beforward.jp wanatoa details zote hadi mileage ipo. Magari ya aina zote na miaka yote yapo, labda kama wewe ulikosea ku specify searching criteria vizuri. Tradecarview nisawa wanayo magari mengi, lakini kumbuka kuwa wao ni madalali tu, mtu binafsi akiwa anauza...
  2. K

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Hakuna mtanzania ataumia hapo wewe, Tanzania inasafirisha mizigo Kongo, Zambia, Burundi, Malawi n.k. hawategemei Rwanda peke yake. Utakuta hiyo USD 500 ni ndogo kuliko gharama za kusafirisha mzigo kutokea Mombasa kutokana na Jeografia ilivyo. Kwa maana hiyo, bidhaa ikitokea Mombasa bado itapanda...
  3. K

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Jamani musibishe sana, ni kweli, tembeleeni website ya TCU! Cheki hiyo
  4. K

    Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

    Mimi nakuwa na Laki hadi Laki 2 na siweki kwenye wallet, kwanza wallet yenyewe sina kabisa na siihitaji, tokea siku walinichomolea wallet kwenye gari alafu kikaenda kila kitu, pesa na vitambulisho vyote... sitaki kusikia kitu wallet. Alafu laki 2 haiingii kwenye wallet, unaweka kwenye wallet...
Back
Top Bottom